Kuna magari nikiyaona huwa nashangaa mnayapendea nini kumbe yana wateja wake? Sikuwa najua.Naihitaji nissan march mgongo wa kobe, mkali unenyooka au mazda demio zingatia iwe mwanza au shinyanga, sina hela ya kufata mikoa mingine njoo na offer
Simu 0628640855View attachment 2406431
Mkuu hakuna mtu siyependa Range Rover, Audi, Benz au BMW ila kutokana na kipato mtu unaamua kujichuja mwenyewe ktk chekeche.Kuna magari nikiyaona huwa nashangaa mnayapendea nini kumbe yana wateja wake? Sikuwa najuwa.
Tena kama unajijuwa bado unaungaunga usitoke nje ya Toyota.Mkuu hakuna mtu siyependa Range Rover,Audi,Benz au BMW ila kutokana na kipato mtu unaamua kujichuja mwenyewe ktk chekeche.
katika wish list yako automatically unajikuta unaweka gari Kama Porte(umbo la tikiti maji),Nissan march,passo na Nissan juke(chura).Kipato hukuamulia.
Nakumbuka ndugu yangu Extrovert kwenye uzi fulani Kuna gari alizimention hata umwekee panga shingoni hawezi nunua.Nilicheka Sana.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hizi ndio kauli za maskini na mafukara, yani unaulizia Nissani March ya million 4 halafu unamponda mwenye Land cruiser V8 VXR, ubongo wako umejaa fungus.Mawazo ya toyota vijana yanewakaa sana, usidhani toyota ni gari uke ni uchafu tu angalau nissan, mazda, subaru kidogo mjapan aliuniza kichwa
Kuna gari ni aibu kuzimiliki😂Mkuu hakuna mtu siyependa Range Rover,Audi,Benz au BMW ila kutokana na kipato mtu unaamua kujichuja mwenyewe ktk chekeche.
katika wish list yako automatically unajikuta unaweka gari Kama Porte(umbo la tikiti maji),Nissan march,passo na Nissan juke(chura).Kipato hukuamulia.
Nakumbuka ndugu yangu Extrovert kwenye uzi fulani Kuna gari alizimention hata umwekee panga shingoni hawezi nunua.Nilicheka Sana.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mimi ndiyo nimenunua kibubu juzi juzi tu hapo ili siku Moja nijikomboe kwa Porte au passo. Mafuta kijiko tu inatembea.Kuna gari ni aibu kuzimiliki😂
Hahahahah Kibubu ndio gari gani hio 😂Mimi ndiyo nimenunua kibubu juzi juzi tu happy ili siku Mona nijikomboe kwa Porte au passo.Mafuta kijiko tu inatembea.
Muhimu nitembelee matako,nyie wa kucheka chekeni tu.😃
Unahisi kila anayemiliki nissan march maskini mzee kibakuli muhimu nina mashine imetulia tu mazda cx 5 kali dizel hiki nahitaji kumpa zawadi mama watoto mtarajiwaHizi ndio kauli za maskini na mafukara, yani unaulizia Nissani March ya million 4 halafu unamponda mwenye Land cruiser V8 VXR, ubongo wako umejaa fungus.
Mkuu mi nahtaji daihatsu Mira, ya kuwa nafatia box zangu bandarini, mara moja moja naingia nayo wavuvi kempu au kidimbwi....nipe ABC zake mkuuKuna gari ni aibu kuzimiliki😂
Namaanisha nimenunua kibubu niweke hela siku moja nami nitambe na passo au Porte.Hahahahah Kibubu ndio gari gani hio 😂
HahahahahaNamaanisha nimenunua kibubu niweke hela siku moja nami nitambe na passo au Porte.
Mi mwenyewe nampango wa kuvuta vits, passo au starletNamaanisha nimenunua kibubu niweke hela siku moja nami nitambe na passo au Porte.
Tuko wawili ndugu,me sijali wanasemaje as long as I move from one point to another.Mimi ndiyo nimenunua kibubu juzi juzi tu hapo ili siku Moja nijikomboe kwa Porte au passo.Mafuta kijiko tu inatembea.
Muhimu nitembelee matako,nyie wa kucheka chekeni tu.[emoji2]
Kuna gari ni aibu kuzimiliki[emoji23]
Extrovert Kuna deal hapa.Mimi nahitaji vitz old model ya kupigia misele hapa mjinni na mikoa ya jilani. Niko morogoro.
Kwa kigezo cha kipato, ondoa juke kwenye list yako!Mkuu hakuna mtu siyependa Range Rover,Audi,Benz au BMW ila kutokana na kipato mtu unaamua kujichuja mwenyewe ktk chekeche.