bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,360
- 2,356
Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Dukan huwezi laptop laki 4! Dukan second hand nzuri ya maana andaa laki 7, kwa laki 4-3 tafuta ya mkononi tu utaoata ata Core i3- Core i5 yenye Ram 4, Hdd 500 inakaa chaji ukiwa tayar mi nitakupa Dell Inspiron N5040 kwa Laki 3.5.Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Kama unahitaji laptop nzuri kabisa ukiwa na 400k unaipata. Usikubali kununua za mkononi, unaweza kuuziwa laptop yenye performance ndogo au hardware za zamani sana ambazo kwa sasa hazitaweza kukidhi mahitaji yako.Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Laptop ya hiyo bei itafaa kweli kwa matumizi ya mawasiliano hasa videocall via WhatsApp mkuu?Wacheki hao jamaa wapo kariakoo wanatazamana na kituo cha polisi msimbazi duka limeandikwa DISCOUNT KUBWA
View attachment 2357521
Mmhh sasa laki 4 nan atakupa latop yenye vifaa vya kisasa? Utawapata wapi laptop procesor ya core i kwa laki 4? Au mnaangalia muonekano tu? Kama muonekano sawa utapewa ata vilenovo au Hp Notebook 11 g2 zenye ssd ya cheap 128 procesor intel 1.1Kama unahitaji laptop nzuri kabisa ukiwa na 400k unaipata. Usikubali kununua za mkononi, unaweza kuuziwa laptop yenye performance ndogo au hardware za zamani sana ambazo kwa sasa hazitaweza kukidhi mahitaji yako.
Naomba picha,mimi naitaka hii mzeeKwa lak4 nitakup hii clean as new
Hp probook core i5 7th g
Ram 8gb ddr4
Ssd 128
Battery 4hrs
Windows 11
Bluetooth
Wifi
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Uko wapi mzee??Slim and portableView attachment 2357551View attachment 2357552View attachment 2357553View attachment 2357554
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Kuna lenovo note pad nzuri tu anapata kwa laki 4..Dukan huwezi laptop laki 4! Dukan second hand nzuri ya maana andaa laki 7, kwa laki 4-3 tafuta ya mkononi tu utaoata ata Core i3- Core i5 yenye Ram 4, Hdd 500 inakaa chaji ukiwa tayar mi nitakupa Dell Inspiron N5040 kwa Laki 3.5.
Tegeta nyuki stand niyo ofisini njoo sogea pm nikupe namba
Kama unamaanisha dukani mpya hupati, lwa laptop nzuri you need around laki 8 kupanda kupata core i3 gen za karibuni.Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Lenovo hipi nzuri ya laki 4 brother! Unajua mi nipo kwenye industry ya Computer ndiyo maana nakuambia hivoKuna lenovo note pad nzuri tu anapata kwa laki 4..
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu Generation ya 7 nani akuuzie laki 4? Labda kama anauza nae hajui machine! Generation ya 3,4,5 kwa laki 4 fresh unapata core i3 au core i5!Kama unamaanisha dukani mpya hupati, lwa laptop nzuri you need around laki 8 kupanda kupata core i3 gen za karibuni.
Laki 3 mpaka 4 tafuta used core i3/i5 gen ya 4 mpaka 7 ni reasonable.