Natumai mu wazima...
Nauza pumba za dengu kunde na soya kwa jumla kilo ni 200 napatikana Tandale sokoni... kama wewe unatengeneza chakula cha kuku au ng'ombe karibu sana.
kwa mawasiliano 0674...
Saa ni mpya kabisa Z51 smartwatch 8
Ina watch faces za apple watch series 8
Unapata na mikanda pair 2
Bei 45,000 Tshs
Maongezi yapo
Naomba radhi picha hazina ubora
Tuwasiliane 0693010101
NB...
Vipo chamazi
Bei yake ya kawaida sana
Hii ipo Na vyumba vitatu
Sebule
Vyumba viwili master
Choo cha public
Dining
Jiko
Full fance
Iko MITA 300 kutoka barabara kuu
Ina maji tayari
Inataka 78 mil
Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka
Maeneo iwe...
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
Habari wanajamvi,
Karibuni mjipatie bima ya afya kwa ajili yako, mtoto na familia yako, kama picha inavojieleza.
Kwa maelezo zaidi unaruhusiwa kuuliza
Karibuni sana.
Sent from my Infinix...
Habari wana JF,
Nina mzigo wa hizi kitu nauza bei ya jumla, zipo 25 Kila moja inaenda 10,000...tu. Mzigo upo Dar es Salaam.
Kama upo interested nicheki 0783350399.
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA...
Nawasalimu wanaforum wenzangu,
Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
Shamba linauzwa ni beach plot liko Tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko).
Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
Habari wana jukwaa,
Jina langu naitwa VOLDER BN BYJUKA. Mimi ni Freelancer Journalist, nimejikita hasa kwenye upande wa usimuliaji wa makala mbalimbali na simulizi za riwaya pia.
Nimefanya kazi...
Fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme, fryer za gas zina kibiriti chake Bei:double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer:130,000Tsh
Single gas...
Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana tshs400 kwa mche mmoja na utaletewa mahali ulipo. tunafika kila mkoa
Mawasiliano
+255717778964
+255757026958
+255620134902
Unaweza kupiga...