Nauza pumba za dengu/soya kwa jumla

Nauza pumba za dengu/soya kwa jumla

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Natumai mu wazima...

Nauza pumba za dengu kunde na soya kwa jumla kilo ni 200 napatikana Tandale sokoni... kama wewe unatengeneza chakula cha kuku au ng'ombe karibu sana.

kwa mawasiliano 0674 864 371...
 
Kwa hiyo hizo pumba unatuma Inbox humu humu ama?, namba ya simu acha wenge ww
 
natumai mupo fresh... ninazo hizo bidhaa kama wewe ni mtengenezaji wa chakula cha kuku/ng'ombe... bidhaa inapatikana Tandale sokoni. kilo 1 ni 200
Kwa hiyo tukifika hapo Tandale sokoni sasa, tukutafute pm, au!!!
 
Back
Top Bottom