Heshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza...
Karibu kwa ujenzi Imara wa nyumba.
Tunajenga majengo ya kawaida na ghorofa.
Tunafanya ukarabati wa majengo yaliyo chakaa.
Tunafanya ujenzi wa mfumo wa kisasa wa majitaka usiojaa.
Bei zetu ni...
Habari wadau WA JF
Naomba anaejua connection ya Mifuko hii inapopatikana kwa wingi. Popote pale nitaifuata mwenyewe. Naomba mnitajie na bei yake.
Nahitaji kwa bei ya jumla. Mifuko hii huwa...
Habari
Kama kichwa kinavyosema hapo kuna Sub Woofer aina ya Sea Piano ipo sokoni nipo Mwanza kwa anahitaji njoo PM bei ni 150k ni mpya
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎
cc zake ni kubwa, 150 cc
Gear 5
Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu
bei elekezi: 1,400,000 tu
inapatikana: SUMVE MWANZA
Wakuu habari za majukumu? Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya maisha ya kila siku. Kutokana na changamoto ya janga la Korona hivyo inatupasa kujikita zaidi katika "digital marketing" and...
Brand New JBL Charge 5 For Sale
Wireless Bluetooth Audio Streaming
Pair up to Two Mobile Devices at Once
Dual Passive Bass Radiators
Rechargeable Lithium-Polymer Battery
USB Type-C Device...
Gari bado ipo kwenye hali nzuri saana na haina kipengele chochote wala haijawahi kurudiwa rangi bei milioni sita na laki tano 65000000 Toyota Raum old Model eng number EXZ 10 00 70846 +255625977427
[emoji91] Kama unayo gari unauza nichek kwa 0713415537
1) Naomba Prado Diamond (Prado TX 120) kuanzia no C, engine iwe 2tr tuu, budget 20M
2) Naomba Rumion kali isiyorudiwa rangi No D za mbele...
Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi...
Habari
Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo
Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina...
Kwa mahitaji ya vifaranga vya broiler wasiliana nasi. kampuni Mkuza, Organia, kibo ofisi zetu zipo banana ukonga vifaranga wetu ni wazuri na afya njema week 4 unaingiza sokoni kwa sasa bei ni...
Tank za lita 1000 zinauzwa. Zipo kwenye hali nzuri. Zipo zenye koki na zisizo na koki.
Bei 180,000/= (negotiable)
Njoo Godown, Temeke uchague.
Call/Whatsapp: +255 699 494650
Hello! Mambo vipi?
Je, unahitaji bidhaaa yoyote kutokea Dar es salaam na upo mbali?
Basi @nitume_popote wapo kwa ajili yako wewe tulia hapo ulipo kama boss, sisi tutakununulia, kukufungia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.