Nyumba ipo Argentina karibu na kituo cha mwendo kasi gari inafika mpaka mlango jiko mnatumia watu wa wili na choo mnatumia watu waili maji yapo umeme kwa mwezi 20k unawaka 24h
Jipatie sabuni bora ya Mydło na yakisasa isiyo kuwa na athari kwa mtumiaji au mazingira.
->Inasafisha na kung'arisha tiles,sink.
->Inasafisha ukuta wa rangi ya mafuta.
->Ina safisha rather...
Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency...
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 700 linauzwa.liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe,kwani miundombinu yote iko sawa,na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa...
Salaam wakuu,
Kama kuna mzazi anahitaji mtoto(watoto) wake wafundishwe tuition nyumbani masomo ya Science na Mathematics(Primary) pia walelewe katika mfululizo maalum wa mafundisho ya Kikristo...
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
Habari mazee!
Nahtaji fundi umeme mzuri wa magari anaejua sio mpiga ramli....ka gari kangu kile kidude cha ku charge simu au kupachika mp3 hakipitishi umeme toka jana,....naishi maisha ya tabu...
Habari za wakati huu,
Koding Kids Program ni programu maalum ya wiki 2 ambapo watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi miaka 15 watafundishwa masuala ya msingi kuhusu masomo ya sayansi ya...
Mk service
Kwa mazalia ya aina zote za wadudu
Chini (Ardhini) Majini,mapangoni,maporini
Majumbani,majararani,maofisini, ktk magodauni, kwenye vyombo vya usafiri na nk.
Karibuni sana
JIFUNZE KUANDAA ANDIKO LA MRADI.
(SOMO LA MSINGI)
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MUUNDO WA ANDIKO LA MRADI NA TAARIFA ZA MSINGI KUHUSU ANDIKO LA MRADI
Je, unaweza kuandika kwa ufupi mambo ya msingi...
Habari wadau.
Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya.
Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia...
Habari ya usiku wakuu.
Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho.
🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc.
🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na...
Natumai mu wazima...
Nauza pumba za dengu kunde na soya kwa jumla kilo ni 200 napatikana Tandale sokoni... kama wewe unatengeneza chakula cha kuku au ng'ombe karibu sana.
kwa mawasiliano 0674...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.