Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wanafunzi na mtu yeyote binafsi ambae angependa kuweka windows 11 kwenye mashine yake. Tunaweka window 11 ki proffesional zaidi. Tunakuwekea ikiwa na keys na application zinginezo kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-). Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. . Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
0 Reactions
119 Replies
8K Views
TANGAZO LA KUUZA NYUMBA NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI) NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani kwa wakazi wa morogoro na walioko jirani changamkieni fursa nyingine ya kujiajiri kwa kusafisha taa za gari kwa kutumia technology ya kisasa kabisi... MCHANGANUO KWA UFUPI; Taa moja ya...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Habari za muda huu, msaada kwa anayefahamu chimbo la vifaa vya usalama vya ujenzi kama gumboots, reflectors, gloves ngumu za ujenzi, helmet za ujenzi, nk Kariakoo au dar au popote pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Changamoto hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na mambo yafuatayo kwenye Kompyuta yako. 1.Uwepo wa tatizo/msuguano wa “Hardware” kwenye Kompyuta. 2. Kompyuta kuwa na joto saana. 3. Kuharibika...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Karibuni nyanya, fresh from shamba Crate 45,000/- Ndoo ndogo 10,000/- Ndoo kubwa 17,000/- Tupo Dsm, Mbezi ya kimara Karibuni saaana. Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che. 0752850081 0783985530...
4 Reactions
1 Replies
590 Views
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0752684160,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana Dodoma.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza escudo ya milango mitatu(shot chasis) Gari iko poa Sana Haina shida yoyote Tairi ni mpya kabisa hazina hata mwezi Vibali vyote vipo Ni automatic Gari ipo dar Kigamboni Bei ni Milioni 6 tu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
TV ya mtumba inchi 24 inauzwa. *Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa. *HAINA REMOTE *HAITUMII FLASH *Bei: 150,000/- (maongezi yapo) *Location: Kiwalani, Dar es salaam...
1 Reactions
6 Replies
908 Views
Habari zenu ndugu wapendwa, Samahani kwa usumbufu wenu, nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata frem ndogo kwa ajili ya biashara ya uwakala. Naombeni msaada wenu, kama kuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Tunatumia vitu vya asili kuhudumia nywele…salama kwa watoto na wakubwa.. na matokeo ni hakika Karibuni sana G&L natural products
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Karibuni watu wote mnunue simu orginal za nokia. Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na aina model nyingine zinapatikana. Mzigo upo mwingi hata ukitaka PC 100 unapata.. UBORA WA HIZI...
6 Reactions
372 Replies
60K Views
* Kwa waendesha bodaboda au magari wakati wa usiku, kama umekuwa ukisumbuliwa na UKUNGU pamoja na TAA za full kutoka kwa madereva wengine mpaka inakupelekea kushindwa kuona mbele. * Jibu...
2 Reactions
174 Replies
73K Views
Wakuu Habari nauza hizi items zangu kwa dharula,nauhitaji mkubwa wa pesa kwa ajiri ya kugharamia matibabu. LAPTOP HP INTEL CORE i5 7th Gen Os. Windows 10pro (activated) Hdd 500GB Ram 8GB Display...
7 Reactions
167 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi...
5 Reactions
96 Replies
17K Views
Habari wakuu, Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom