ukipost clip unamwachia huru nakupatia pesa ,release it please huyo ni ndege pori maisha yake yote yuko huru atakufa kwa stress hao wanakaa hadi 15-20yrs kama ukimfuga from chick lakini huru kama huyo hata moka miwili hatochukua kwa stress au depresson kuwa na huruma mw ache tafadhali am beging u!Kwa anahitaji nichek kwa number hii 0719708708
Mkuu serious unayo 150k hapo ya kumrushia???ukipost clip unamwachia huru nakupatia pesa ,release it please huyo ni ndege pori maisha yake yote yuko huru atakufa kwa stress hao wanakaa hadi 15-20yrs kama ukimfuga from chick lakini huru kama huyo hata moka miwili hatochukua kwa stress au depresson kuwa na huruma mw ache tafadhali am beging u!
Ujiandae kuumwa vidole maana Kasuku kumnasa ni rahisi shida ni kumkamata,labda kama utavaa gloves za ngozi..Sasa kama inahitaji kibali kuwa nae ukikutwa adhabu yake si ni sawa na umekutwa na kucha za simba?
Mi nampenda ila hela sina nielekeze huko shambani nije kuwinda na mie
Anauma kumbe, sa ntakua namhudumiaje kama ananiuma boss wakeUjiandae kuumwa vidole maana Kasuku kumnasa ni rahisi shida ni kumkamata,labda kama utavaa gloves za ngozi..
anajua sana body language Wala usiogopeAnauma kumbe, sa ntakua namhudumiaje kama ananiuma boss wake
Yaani linang'ata kukata ngozi kama mkasi.hata hayo mazoea na boss wake ni ya mashakamashaka tu.Anauma kumbe, sa ntakua namhudumiaje kama ananiuma boss wake
khaaa kumbe ndio hivi, nawapenda sana hawa ndege ila huko kung'atwa tena mmhYaani linang'ata kukata ngozi kama mkasi.hata hayo mazoea na boss wake ni ya mashakamashaka tu.
Ukijichanganya anakutoa damu.
Ni mzuri ila hataki mazoea,ukipeleka hata kidole utaona anavyotishia kuuma.khaaa kumbe ndio hivi, nawapenda sana hawa ndege ila huko kung'atwa tena mmh
Bei ?Kwa anahitaji nichek kwa number hii 0719708708