Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Attention Huduma ya free Wi-Fi installation bado IPO kwaajiri ya matumizi ya ofisini au nyumbani kwa mtandao wenye super kasi WA vodacom. Huduma zikiwemo free antenna, free wireless router, free...
3 Reactions
99 Replies
7K Views
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo tumbo kujaa gesi hilo ni tatizo linalotokana kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuna njia rahisi sana ya kusafisha na kuondoa sumu zote mwilini kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Vyet vya Suzana Ernest Mammba vmepotea Tar 26/7/2016 asubuh Vilidondoshwa kwenye daladala iliyokuwa inatoka mlandiz kwenda mawasiliano. Ni chet cha form 4, chet cha diploma ya udaktar na chet...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi ...
2 Reactions
7 Replies
691 Views
Nyumba kubwa sana Inapangishwa Mbagala kiburugwa ( Njia ya kwenda Kiwanda cha cement Camel) ipo barabarani kabisa 🟠Room 3 , 2 Master bedrooms 🟠 Jiko 🟠Public Toilet Ndani 🟠dining 🟠sittting...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Habari wanaJamvi, Nauza mashine yangu ya kukamua mbegu zenye mafuta. Ina uwezo wa kukamua alizeti, nyonyo, karanga, nk. Inatumia umeme wa 3 phase model ggzx-80. Technical details za mashine zipo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana...
1 Reactions
2 Replies
721 Views
Natafuta hii T-con ya tv ya Sony inch 43 4k lakini inatumia kioo cha LG kwaiyo hii T-con ya kioo cha LG Nipo Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
0 Reactions
7 Replies
657 Views
Katika chanzo kikuu Cha kuendesha mfumo wa maisha basi afya ni kitu Cha msingi zaidi katika kuendesha uchumi hata siasa. Nadhani wengi au baadhi yetu tushawahi pitia maswaibu ya kuuguza au wenyewe...
1 Reactions
4 Replies
399 Views
Popote ulipo TANZANIA,kwa mahitaji ya vifaa #bora #imara #kwa bei nafuu -MABATI -MISUMARI -MARINE BORD -VIGAE -PVC BORD -GATA & KOFIA -ANGLE LINE -GYPSUM -FISHER BORD Fika kiwandani #DRAGON au...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jali AFYA yako na familia yako kwa kumiliki kifaa hiki muhimu sana kwa bei rahisi sana ya Tsh 100, 000/= Tu , zilizothibitishwa na WHO (Dar Es Salaam Free Delivery). Small body and Convenient...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Haya ni majiko ya kisasa yenye material maalum ya kuzuia joto lisipotee hivyo kukuwezesha kutumia mkaa kidogo tu kuivisha vyakula. Unapewa pamoja na warrant ya mwaka mmoja. Kwa mkoa Morogoro...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Nahitaji gari aina ya Toyota IST namba D Rangi iwe kati ya silver, black au white. Budget ni 7 - 8M. Gari iwe haijarudiwa rangi.
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi unajua upungufu wa joto bandani ni moja ya sababu inayopelekea vifaranga wako kudumaa/kudhoofika na kupoteza maisha? (INFRARED BULB) Sifa za Taa za mifugo plus ●Hutoa mwanga mwekundu ambao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Electric centrifuge Matundu sita. Model no. : 800D Bei ni 180k Dodoma ilazo
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Habari wakuu,naiuza gari yangu Model:Mazda demio Capacity:CC 1350 Registration:AUL Bei:3,300,000/ Location: Tabata Kifuru Contact:0656214344
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Tunafanya Ujenzi kwa Bei Poa January hii bila kuboa tucheki Whatsapp 0685423249
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Nyumba ipo Mbagala kwa Mbiku, ina frem 2 kwa mbele, vyumba 3 vya kulala, sebule, dining, jiko. Nyumba ya pembeni(Wavulana) vyumba 2. Bei ni 25m tu. Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom