Tangazo la kupotea vyeti

Tangazo la kupotea vyeti

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
3,922
Reaction score
7,437
Vyet vya Suzana Ernest Mammba vmepotea Tar 26/7/2016 asubuh Vilidondoshwa kwenye daladala iliyokuwa inatoka mlandiz kwenda mawasiliano. Ni chet cha form 4, chet cha diploma ya udaktar na chet cha kuzaliwa pamoja na living certificate vyote vikiwa kwenye bahasha ya kaki. Taarifa zko kituo cha polisi Mbez kwa Yusuph Kwa aliyeviona tafadhali tuwasiliane kwa no. Zifuatazo; 0655650017 Au 0688974008. Asante kwa ushirikiano wako
 
Sawa mkuu wacha tushirikiane kusambaza habari, maana saizi ukitaka kwenda nacte kufatilia cheti kipya na hizi sifa zao za safari hii hawakawii kuona km vile mwizi kajipeleka kituo cha police ikawa full mapicha kwenye magezeti
 
Vilidondoshwa......aisee ungeokota bwana hivi ilikuwaje mbona simu ikidondoka mnaokota betri, mfuniko na injini na kuvipanga upya, sasa bahasha kubwa vile ukaiacha wacha we.......

Pia taarifa kama hiyo inahitaji kuwa na detail za kutosha,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom