Nasubili majibu wadau
Asante mkuu ntafanya ivoNenda kariakoo mtaa wa mchikichini chief
habari zenu wadau humu ndani mi pia niko interested na hii biashara mwenye ujuzi aje atusaidie wapendwa. Mbarikiwe!Habarini ndugu zangu,nahitaji kufanya biashara ya kuuza mikufu na hereni wanazoziitaga English gold,nahitaja Mwenye ujuzi Wa hii biashara anijuze ni wapi wanajumulia kwa bei nzur kwa huko dar,maelezo mazuri tafadhar
Ndugu bado unafanya hii kitu?Mimi ninazo. Ni-PM nikupe maelezo na kukurushia 'sample picture' kama uko interested.