Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, Nahitaji fundi wa plumbing akuje kunifanyia tathimini kwenye kanyumba kangu. Ila awe anaishi Runzewe - Geita au Nyakanazi, Biharamulo. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
446 Views
OFFA!! Dar electronics wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760. Mashine ni used but works perfectly. Other details Name; canon Model; selphy CP760 Sheet size ; 148cm x 100cm Printing...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
Wakuu amani na iwe kwenu. Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
2 Reactions
4 Replies
543 Views
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kwema, samahan nahitaji asali mbichi ya nyuki wadogo nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Inakuja na; 2 pads FIFA 23 installed Cables zote @ 550,000/= Interested CALL/SMS/WHATSAPP 0653 835790 0754 935991 DAR FREE MARKET
1 Reactions
1 Replies
776 Views
Jamani ndugu zangu nina shida na simu ya button toleo za nyuma kama Nokia vile vidogo. Tafadhali mwenye nayo hela yake iko mfuko wa shati! Naomba kuwasilisha
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wa jukwaa (jamii) Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali. Containers zipo za 20feet na 40feet Kuna used from Japan zilizotumika hapa...
5 Reactions
58 Replies
14K Views
Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, ninauza kiwanja hapa kiseke PPF jijini mwanza, kipo jirani na Tizeba, kina ukubwa wa Sqm 1340 bei milion 27. mawasiliano 0717072172
0 Reactions
6 Replies
667 Views
Habari, Maabara ya Afya inauzwa . Imekamilika kila kitu na tayari ina kodi ya miaka 6. Sio miezi ni miaka. Location: DSM Ipo SAKU- CHAMAZI Ipo stand kabisa ukiangalia picha vizur utaona, haina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 500 (mia tano) linauzwa @ekari ni laki moja na ishirini 120000.shamba ni zuri naharina longolongo na linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ardhi yenye lutuba...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kariibu ofisini Magomeni Dar Android ya IST, Rumion, Passo, Rav4, Vitz, Subaru, Noah n.k utaipata kwa 250,000 [emoji419]Ikiwa na 32 memory GB yenye uwezo wa kukopy vitu kwenye flash na memory car...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, Watu kadhaa wanapenda kuanza kazi ya kupiga picha, au wengine ndio wanaanza. Kuwa na ujuzi ni jambo zuri linaloweza kukusaidia iwe unataka picha za binafsi au mpiga picha kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Ninauza cherehani mbili zikiwa na meza zake za kushonea 1. Singer Ina mota ya umeme Location.. Dar es salaam Mikocheni B Bei: 320k Mawasiliano piga +255 786 407 039
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzigo mwingine huo hapo; epuka usumbufu wa kukatika umeme mara kwa mara; solar kubwa hiyo hapo kwa bei Poa; vioo viwili vyenye ubora wa hali ya juu na bado vipya kabisa: kila kimoja watt40 Jumla...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Unangoja nini kupendezesha chumba chako, sebule yako, ukumbini kwako Jamani mambo mazuri sana [emoji91][emoji91][emoji91] karibuni. Nipo kinondoni studio Call / WhatsApp 0768510733
0 Reactions
3 Replies
523 Views
Back
Top Bottom