Najua watu wengi wanaopenda na kujali ngozi zao huwa wanatafuta bidhaa nzuri za kuleta
matokeo mazuri
Hapa sasa Umefika, tuna bidhaa nzuri kutoka brands kubwa (Nivea,Dove,Ordinary,Boots, n.k)...
Habari, kutokana na uwepo wa joto katika mazingira yetu ya nyumbani na maofisini
kampuni ya OKEMI technical services imekuletea OFA KUBWA yaani punguzo la bei kwa 30% za AC na kufunga AC kwa...
Ndio,
Nauza Toyota Spacio namba EBC, imetumika kidogo sana inatakiwa m14 tu.
Gari ya muhindi (haina safari) ipo Posta Dar.
Mawasiliano: Call 0783 708437.
Habarini wadau wakubwa huku JF, km unakreti tupu za pepsi nahitaji kuzinunua ikiwa unaziuza au unajua mtu anaziuza. Kwa maeneo yote ya Dar es Salaam km unazo tuwasiliane tufanye biashara wadau...
Wakuu habari zenu,
Mwenye uhitaj wa asali mbichi ya nyuki wakubwa mimi ninauza.
Nipo Morogoro.
Nina asali katika madumu ya ujazo wa lita 20 na nina madumu yenye asali yapatayo 50.
Kwa yeyote...
Habari members. Za kwenu. Naomba kwa anaejua kuzipata jade plants kwa jumla yaani kilo moja na kuendelea naomba nisaidie connection. Na shida na majani ya jade plant. Najua kuna mti wake ila...
CHUMBA, SEBULE PAMOJA NA CHOO CHA NDANI KINAPANGISHWA
Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa.
Kinapatikana Mbezi Mwisho karibu na stendi ya Magufuli, maeneo...
Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja...
Nauza [emoji3053]Sandwich Machine kampuni ya Von.
Ni mpya kabisa bei ni tsh 35,000 nipo Dar es salaam Mawasiliano yangu ni 0657438581. Karibuni!
Nimejaribu ku upload picha hapa naona zinagoma...
Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani...
Ndugu zanguni nawasalimu kwa jina La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kuna jambo hapa nataka kulifanya ila ushauri wenu ni muhimu pia.
"kigoma messenger service"
Nimeipa jina hii hiyo huduma...
Vinauza viwanja kibaha Town, vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha, mtaa wa Lulanzi na siyo mbali sana toka stendi mpya ya mabasi ya mwendokas Kibaha au stendi ya...
32"
Smart,
4K+HDR, LED,
Bluetooth,
HDMI 4 Ports ( at least one 2.1)..
Hata used iliyosimama sawaaa.
Nakaribisha ushauri pia kwa wajuvi,
Ni vizuri ikawa kati ya LG, SONY & SAMSUNG.
Update...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.