Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba Iko Kimara Suka - 1Km kutoka Morogoro road, kushoto ukiwa kama unakwenda Mbezi. Sifa za nyumba: Ziko mbili ndani ya fence 1 Vyumba 3 kimoja Master AC mbili (Sitting room moja na master...
2 Reactions
96 Replies
10K Views
Nauza Harddisk za desktop na laptop used kutoka Dubai, ukihitaji tafadhari nicheki kwa 0673330618 WHATSAPP na KAWAIDA
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Hdd Gb 1,000 (1tb) inauzwa ndani ikiwa na baadhi ya Movie [emoji897] tofauti tofauti bei ni 90,000. Hdd ni Toshiba niko Kibaha Pwani, 0626 368 650
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo. 1...
41 Reactions
102 Replies
27K Views
Nauza gari yangu mwenyewe. Make: Toyota Model: Starlet Carat Cc 1300 Bei 5 million No plate DDB
1 Reactions
2 Replies
979 Views
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
2 Reactions
6 Replies
923 Views
Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu kali sana used kutoka dubai zinauzwa bei ya kutupa. Kuanzia 250,000 unajipatia samsung S7 samsung S8 kwa 290,000 Samsung S9 kwa 320,000 Samsung S9+ kwa 380,000 Samsung S10 kwa 400,000...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali: Mnada utafunguliwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona leo tukiwa na afya njema... Tunamshukuru Mungu. . MZIGO MPYA HUO, mali MPYA, ni ROZARI za SILVER ORIGINAL ZA ITALY ZIKIWA KWENYE UZITO NA UKUBWA TOFAUTI...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Tunauza Miche ya matunda Aina ya miche ya matunda inayopatikana Kilimo Tz: 1. Miembe aina za embe ambazo tunazo a. Tommy b. Indian Red c. Apple Mango d. Dodo e. Bolibo f. Alphonso g. Maya 2...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu. Na je ni vitu gani vya...
2 Reactions
33 Replies
17K Views
Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla. Faida za kuwa na social media + marketing manager 1. Nasimamia...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Nilinunua mashine zangu mbili za kukamua juice ili nibangaize miamoja au miambili nione kama nitaongeza kipato. Mashine zipo Dar, niliwakabidhi vijana walikuwa wanaziweka...
0 Reactions
4 Replies
853 Views
Habari wandugu Kama title inavyojieleza, nimeona ni vyema kuanzisha Uzi huu ili iwe rahisi kwa wadau (wauzaji na wanunuzi wa nafaka mbali mbali) kukutana na kufikiana. Taja aina ya nafaka...
1 Reactions
46 Replies
11K Views
" Owning residential real estate is not a great investment. Over the past 20 years, home prices have risen less than the consumer price index and have returned less than treasury bills." Hayo...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Nauza hii Camera 📷 kwa bei tajwa hapo juu. Ipo pamoja na cover, memory card (8GB) na adapter yake. Niliinunua Thailand baada ya simu yangu kupotea wakati nikiwa nahitaji picha muhimu za matukio...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Back
Top Bottom