SOLD: OFA Canon Selph Express Photo printer

AgentX

JF-Expert Member
Mar 7, 2015
1,651
1,694
9bce7f8370169f45a45679c20cd60f8f.jpg
f2abba9569acd34f8be6f1cf0ad87ad1.jpg
4ded0ddae7074b8ebc3230651b11906b.jpg
fd3cbcddb0b06dc368e773a63e94de14.jpg
9dfe4905744fb1942f8e996aca7a2138.jpg
ed1ffebb9b6ee93616e50e4e7e7a56e0.jpg
6e6db312bba1a48b494e53500d638ba3.jpg
a2c35caa890237a8d560c191bc26d583.jpg
efea471efd0d7dc8c401c08c80e41bd6.jpg
OFFA!!


Dar electronics wanakuletea mashine za Canon selphy CP 760.

Mashine ni used but works perfectly.

Other details

Name; canon
Model; selphy CP760
Sheet size ; 148cm x 100cm
Printing duration; approximately 2min
Power; use ac adapter and powerbanks
Support ; flash disk and various types of card reader

Jipatie mashine ya kusafisha picha dk 3 ya canon mashine ni imara na inapiga kazi sawia. Ni kwaajili ya stationary au photo studio pia kwa matumizi ya nyumbani na familia.

Kama unahitaji inapatikana kwa tsh. 150,000/= piga simu


Email; &&&check on discription&&&
Instagram ; Dar_Electronics
Sms,call,WhatsApp - 0659167416

Kwa walioko dar utaletewa mpaka ulipo, mikoani tunasafirisha kwa ma bus


TOA ODA YAKO SAAASA
 
Zina safisha picha ya ukubwa gani?? passport siza,5X7??
Pia cartridge zake zinapatikanaje? Elezea pia na bei kama inawezekana.
Bei laki na nusu. Cartridges ziko nyingi kkoo. Ina safisha passport size aina zote. Ina safisha ukubwa wa 4inch × 6 inch hii ni portable device
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom