Natafuta simu ya "button"

Natafuta simu ya "button"

Joined
Feb 13, 2020
Posts
9
Reaction score
7
Jamani ndugu zangu nina shida na simu ya button toleo za nyuma kama Nokia vile vidogo.

Tafadhali mwenye nayo hela yake iko mfuko wa shati!

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom