BREAKING
Jipatie mashine mbalimbali za Kilimo na Ufugaji kwa gharama nafuu.
■ Mashine moja inayosaga na kukoboa.
■ Mashine ya kumenyea Mahindi.
■ Mashine ya kupukuchukua Mahindi.
■ Mashine ya...
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, viwili vikiwa ni master pamoja na sebule na dining room. Eneo Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21, kuna eneo la shamba kama linavyoonekana kwenye picha.
Bei yake ni nafuu...
Habari wanajukwaa,
Wale wataalam wa kushona nguo za aina mbalimbali za kiume na za kike uzi wenu huu muanze kuonyesha kaz zenu mbali mbli na mikoa mliyopo.
Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa...
Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
dryer ni 150,000. ina miezi 6 risiti ipo na boksi lake
stima ni 80,000 imetumika kimtindo
Viti viwili 100,000(vya kisasa)
stendi ya kuoshea nywele 40,000
kabati la chini ya kioo 70,000...
Mafanikio yanaanzia kwenye akili yako. Leo ninakushirikisha mambo mawili ambayo yanaweza kukuumiza. Endapo yatakuumiza pole na utanisamehe kwa hilo. Kusudi kuu la makala hii ni kuonyesha njia ya...
Badge hidden video & sound recorder pia Kwa ma Biker kitu ni nzuri sanaaaa Ina magnetic 🧲 inakaa kokote hata kwenye shirt/t-shirt/coat video ni HD..... only for 300,000/=
Dsm
0718909429
Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri.
Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha...
Wadau nani anajua zilipo tv za MTUMBA KUTOKA GERMAN mana nimesikia hizi zinadumu mara 100 ya TV hizi smart za KICHINA za kariakooo.
Mana hawa wauza tv za kariakoo wanakupa warranty ya mwaka mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.