Sina shaka na huduma za kitaalamu za Mwl.RCT. He is best compared to others. Maana nilinunua king'amuzi cha Best HD4U kwa mtu flani hata kujua account imebakiza muda gani alininyima elimu hiyo...
Habari'
KWA WAWEKEZAJI, MAABARA YA AFYA/ MEDICAL LABORATORY
Inauzwa.
Imekamilika kila kitu.
Umeme wa Tanesco na
sola poa ipo
Haina shida yoyote.
Mil.7 kwa mil. 11.5
Tayari ina kodi ya Miaka 6...
HP pavilion 360°
RAM 4GB
ROM 128GB
Kwa specifications zaidi angalia pics
mapungufu iliyonayo :-
1.Betri aidumu na chaji
2.Screen imecrack kidogo hivyo screentouch haifanyi kazi eneo hilo...
Bahati ya kununua kiwanja/nyumba kwa bei nafuu sana imejengwa kwenye kanuni maalumu. Kwa kanuni hiyo ni lazima uweke juhudi kubwa. Juhudi kubwa ndiyo ndugu wa bahati ya kununua kiwanja au nyumba...
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.
Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG.
BEI KITONGA...
Hello waungwa nauza Fiat yangu ya kubebea mchanga Iko kwa Mrombo ARUSHA . Iko vizuri sana
Ni kuwasha na kwenda Korongoni . Sababu za kuuza ni madereva wananizingua . Bei ni milioni 15 maongezi yapo
Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome
una kila kitu ndani yake
Fixed sound system
LED Screen
Stage
Fixed Lights
Fixed Camera
Tables and...
Sabato njema!
Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB.
NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30.
Location ni DSM.
Nataka niongeze hela ninunue mpya...
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
Habari wana jukwaa!
TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA
Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi
Nauza kiwanja changu kipo...
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora...
PATA SCREEN MAGNIFIER
++KUZA UKUBWA WA SCREEN KATIKA SIMU YAKO
+JIKINGE DHIDI YA MIONZI INAYOUMIZA MACHO YAKO WAKATI UNAPOTAZAMA MOVIE KATIKA SIMU YAKO
Ukubwa wake 19cm*12cm
Free delivery ndani...
Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;-
✓ Taarifa za nakala za...
Kiwanja kizuri sana
Kina huduma zote
Maji
Umeme
Barabara
Kipo nyuma ya shule ya msingi twende pamoja
Jirani na gereza la mahabusu kibaha (sofu)
Kina ukubwa wa mt 20 kwa 25
Barabara ipo mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.