Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 79,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 31m
Call/watsap 0715140001
Wakuu karibun kwa finishing nzur za nyumba na decoration kwa kutumia rangi za kawaida au modern material Kama con mix,drewa,camsilver,minart decoo,prestige,wall panel,wall moulding,silcoat,palace...
Msaada wadau,
Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua...
Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
Nauza kiwanja kipo Mongola ndege kwa bei ya Milioni Nane (8) kina ukubwa 18×20 Mimi ni muhusika mwenyewe na sio dalali kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.
Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya...
Nyumba yenye eneo kubwa inauzwa,ipo Kibaha kwa Mfipa,nyumba Ina vyumba vitatu,zikiwemo master mbili sebule kubwa na jiko.
Ukubwa wa eneo ni sqm 700 kwa 210,
Hati ipo.
Vyote hivyo vinauzwa kwa bei...
Habari! zenu wanajamvi?
Kama thread inavyo sema hapo juu
Wakuu kunajambo lanitatiza sana Mimi nipo arusha kama ujuavyo watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo haya vutii yanarangi
Nimetafuta...
Kwa bidhaa mbali mbali za magari, kama shock abs, brake pads original, CV JOINTS, piston rings, na tuna spare za suzuki carry original kabisa,simu brand zote, play station, tablets za watoto...
Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa!
Bei yangu simple sana
1. Lenovo T430
Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs)
Memory: 6G RAM...
Habari zenu ndugu
nauza simu yangu iphone 11 eleven
simu ni mpya kabisa nauza pamoja vyote hivo
kwa bei ya laki 8.5
sifa zake
GB 128
bettry 100
face id iko vizuri
simu haimjui fundi
namba...
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache.
Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na...
Tunatengeneza sare za tshirt kwa ajili ya shughuli za kijamii,utalii, serikali, familia na sare kwa ajili ya taasisi binafsi na serikali .
Ofisi zetu zipo Lumumba tunatazamana na ofisi ya ccm...
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.
Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick...
Wanajf habari zenu bana??
Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo.
1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 320k
2.godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 170K
3.SeaPeano..tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.