Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza pikipiki yangu, Aina: Sinoray Cc: 125.5 Muda: Nimeitumia mwaka mmoja kwa shughuli zangu binafsi, Ni nzima sijawahi kufungua engine Price: 900,000Tsh Location: Dar es Salaam, Mbezi
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Habari, Hii gari aina ya volkswagen Golf, engine yake imenok inahitaji ovehaul. kwa anaehitaji tuwasiliane 0626947625 Gari ipo Mbezi Beach- Shule Price ni 3.3m
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:- 1. Haijawahi kupata ajari. 2. Hijarudiwa rangi 3. Millage isizidi 70,000 Kilometers 4. Namba D 5. Iwe ni Automatic 6. Iwe na AC 7...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu poleni na kazi za hapa na pale, Ninapenda kuwataarifu wafanya biashara wa mazao hasa wanunuzi na wahitaji wa mazao kama Soya beans (inapatikana Malawi), karanga( nyekundu na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni. Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, kwa wenye kuhitaji karanga kuanzia tani 4 na kuendelea wanakaribishwa saana, kwa aliye tayari naomba tuwasiliane PM. Mimi kwa sasa napatikana kaliua Tabora, popote Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Technical specificationsNokia C10 Shoot HDR photos and admire them on the HD+ screen. Colors Light Purple Display Aspect ratio: 20:9 Cover glass: Toughened glass Features: Brightness 400 nits...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mo graphics studio tunaendelea kutoa huduma kwa wateja wetu Kama ifuatavyo. Tuna design mabango ya biashara(Banners) mbali mbali kwa gharama ya 20k. Tuna design stickers kwa ajili ya ku brand...
3 Reactions
159 Replies
13K Views
Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Natafuta Indoor shoes kwa ajili ya biashara kuanzia piece 50 na kuendelea. Naomba bei ya jumla. N:B Ziwe quality nzuri au zifanane na picha zilizoambatanishwa hapa. Cont...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Greetings, We would like to take opportunity to invite interested persons for the disposal of above items in our yard, please for more details and pictures contact the following number...
0 Reactions
4 Replies
502 Views
Habari za usiku nahitaji redio used ya gari wana jf kwa bei ya kitanzania nipo arusha mjini hapa ela ipo mfuko wa shati
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Nahitaji vioo vya gari used yaani vilivyotolewa kwenye magari na visivyotumika tena, viwe vyeupe(plain) yaani visiwe tinted white kwa bei used ya uchumi wa kati. Kama kuna mtu ana connection ya...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Tangazo: Habari za leo wateja wetu wapendwa, Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Fundi wa rangi pamoja na material mbali mbali tuite sasa tuongeze thamani ya nyumba yako kwakupaka rangi nzur zenye ubola wa kisasa tupigie kwa mawasiliano namba 0718884670
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom