Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na wanausalama wa Tanzania wowote aliye Malaysia naomba Contacts zake au unaweza kuwasiliana kwa +255716 494151 Msaada wa haraka sana unahitakija Ahsante
Mbunge wa zamani wa CCM jimbo la Mbozi Mashariki Edson Halinga(68) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne. Marehemu aliyekuwa akiishi mtaa wa Vilolo mjini Viwawa Mbozi alifariki dunia kutokana...
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.
Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake...
Dear all,
hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya...
wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa ndugu yetu Harry makange mtangazaji yule wa Channel ten amepata ajali mbaya ya pikipiki alikuwa anatoka nyumbani kwake asubuhi kule Kibaha akielekea...
God is Love
Christmas is all about love
Christmas is thus about God and Love
Love is the key to peace among all mankind
Love is the key to peace and happiness within all creation
Love needs...
Tigo wamepunguza mzigo kwa wananchi kwenye ghalama za matumizi ya simu.nadhani tungejiunga na tigo na kususia mitandao kama vodacom mitandao inayo nyonyapesa mpaka na wao wapunguze gharama zao...
Habari za Mchana wajameni...
Naomba msaada wenu kwa mtu ambaye anaweza nipatia link ambayo ntaweza download kitabu hiki. Ni masuala ya kufa na kupona.
Nigel Slack - Operations Management...
Invisible na wakuu wengine naomba mnisaidie nawezaje kuzipata na forums nyingine kama jf Dr,jukwaa la lugha,science,technology nk manake kwangu hazipo.
asanteni wakuu
Here is some treat for the sky watchers, as today, the 12th December, the world will witness the brightest full moon ever. The moon to appear today is about 30 percent brighter and 14 percent...
Kwa wale walioko nyumbani ambao wako kwenye fani ya ujenzi au kwa wale wenye uzoefu na shughuli za ujenzi. Tafadhali ninaomba makadirio ya ukarabati ufuatao:
Ninajaribu kufanya makadio ya...
Wenye ufahamu wa mambo haya naomba msaada. Nataka kujaribu bahati yangu kwenye mchezo wa bahati nasibu wa EuroMillions. Kuna kampuni mbili za ma-agent wa online, Lottery24 na AAL ambazo zinadai...
Habari zenu wana JF,
Ni kwamba kuna utaratibu kwenye viwanja vya ndege kuzuia abiria kubeba vichupa vyenye vimiminika zaidi ya ml100. Kwa hiyo inalazimu abiria kulazimisha kupima mzigo hata...
Ninawatafuta
1.Patric ambaye mama yake ni Wanjila Zakaria. Patric alizaliwa Dodoma mwaka 1973 maeneo ya Msalato. Mama yake Patric ni mgogo. Baba yake Patric ni Mnyiha kwa jina ni Lemson Jonas...