MARK II GR FOR SALE (Going at a very affordable Price)

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Mark II GR going at a very affordable price ... Only 4.5 M

Gari inaita sana, (Angalia picha hapo chini) imekuwa ikitumiwa kwa kwenda ofisini na kurudi.

Other Particulars:

Year: 1992, 4-Cylinder, 170,000kms

Mnunuzi ani-PM au aniandikie mrbwire@yahoo.com
 
Attachments

  • Picha.-0032.jpg
    Picha.-0032.jpg
    6.6 KB · Views: 189
  • Picha.-0045.jpg
    Picha.-0045.jpg
    5.9 KB · Views: 169
  • Picha.-0046.jpg
    Picha.-0046.jpg
    4 KB · Views: 151
  • Picha.-0047.jpg
    Picha.-0047.jpg
    4.6 KB · Views: 153
  • Picha.-0057.jpg
    Picha.-0057.jpg
    4.3 KB · Views: 150
4.5m bei kubwa sana hiyo mazee;Kwa anaye fahamu gari not more than 2.7m
 
Ni kweli hata kwa dola 1000 (sawa na Sh 1,400,000) kule Japani, Lkn huku ni Tanzania ndugu! Magari uwezo wa kununua mapya hatuna kwa kuwa hayazalishwi hapa nchini. Ukinunua gari iliyokwisha tumika nje, ikifaika hapa garama yake ni zaidi ya mara 2 ya bei halisi.

Hivyo tutaendelea kuwa watu wa kutumia "used of used of used in Tanzania of used of new in Japan/UK", ikiwa na maana imetumiaka na watu 2 nje kabla ya kutumika na 3 tena hapa Tz. Any way ndio maisha kwani siku hizi kila kitu ni used kuanzia wanawake na wanaume!
 
Hayo sasa masihara!!! Gari hiyo iuzwe M 2.7 eee! Hiyo kufuru! By the way hata used bajaji cant be bought kwa 2.7.

Siamini kwamba kuna gari inayouzwa 2.7M. vinginevyo hiyo ni screpa inayotembea.

I respect your thoughts anyways,
 
Ni kweli hata kwa dola 1000 (sawa na Sh 1,400,000) kule Japani, Lkn huku ni Tanzania ndugu! Magari uwezo wa kununua mapya hatuna kwa kuwa hayazalishwi hapa nchini. Ukinunua gari iliyokwisha tumika nje, ikifaika hapa garama yake ni zaidi ya mara 2 ya bei halisi.

Hivyo tutaendelea kuwa watu wa kutumia "used of used of used in Tanzania of used of new in Japan/UK", ikiwa na maana imetumiaka na watu 2 nje kabla ya kutumika na 3 tena hapa Tz. Any way ndio maisha kwani siku hizi kila kitu ni used kuanzia wanawake na wanaume!

Kile kiwanda cha nyumbu ama nyayo(hapo kenya) vingejaliwa vizuri tungepata brand new cars in cheap prices! Kile cha nyumbu nakumbuka kilikuwa kinatengeneza kifaru ila mpaka sasa sijui hata hicho kifaru kimeshafanya kazi au lah (ku-test)
 
Ni kweli hata kwa dola 1000 (sawa na Sh 1,400,000) kule Japani, Lkn huku ni Tanzania ndugu! Magari uwezo wa kununua mapya hatuna kwa kuwa hayazalishwi hapa nchini. Ukinunua gari iliyokwisha tumika nje, ikifaika hapa garama yake ni zaidi ya mara 2 ya bei halisi.

Hivyo tutaendelea kuwa watu wa kutumia "used of used of used in Tanzania of used of new in Japan/UK", ikiwa na maana imetumiaka na watu 2 nje kabla ya kutumika na 3 tena hapa Tz. Any way ndio maisha kwani siku hizi kila kitu ni used kuanzia wanawake na wanaume!
Nimecheka mpaka basi...eti na wanawake/wanaume nao ni used????Kwikwikwikwi...na hayo ni maendeleo.
Bei hio ni kubwa sana mkuu,gari ya 1992??hivi hio gari itakuwa na mileage kiasi gani???
 
Back
Top Bottom