Plot inauzwa kisukuru juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot inauzwa kisukuru juu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by LadyGaga, Nov 13, 2009.

 1. L

  LadyGaga New Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kiwanja kinauzwa kisukuru juu njia ya gereza la segerea ,ukubwa ni nusu eka, kimepimwa bei ni million 25, maongezi yapo
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nyumba inauzwa Kitunda, bei sh. million 20.
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Bei ni kubwa sana! Mimi nimefika Kisukulu mara 1 tu nilipapenda kwani nadhani\natumai kuwa ni The Highest point in Dar ambayo unaona sehemu kubwa ya Dar kuliko yoyote yaani niliweza kuona Maeneo ya Mikocheni,Masaki,Oysterbay,CBD hadi Mbagala na nyuma Mbezi ya Kimara tatizo ni miundo mbinu ya kufika huko... Lakini Jiji lingekuwa na mipango enzi hizo pangestahili bei hiyo... mjumba mengi ya huko yamejengwa kiholelaholela...
   
 4. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukiwa fisadi you can buy that Plot.Mtu wa kawaida hwaezi millioni 25 kwa mpigo!
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ahsante, ngoja tujipange.
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kisukuru juu kweli kuzuri, ukiwa kule unaiona dar nzima. Ila hii bei ni too much.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  bei kali kwetu sie , kwa wengine mh, watakuwa wameshapiga simu na kumtuma houseboy akanunue

  Hii bongo iangalieni hivi hivi
   
 8. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #8
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Sinkala,

  Ebu ipambe kidogo tushawishike. Kama ina vyumba vingapi, choo cha nje, ukubwa wa eneo linalobaki baada ya nyumba, ....... n.k

  Ninahitaji nyumba kwa range hiyo.
   
Loading...