Nauza Starlet Carat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Starlet Carat

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mchaga, Nov 5, 2009.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu nauza starlet carat ya mwaka 1998 kutoka Japan imetembea klm 80,000.

  eng. capacity 1300, imelipiwa ushuru na gharama nyingine.

  nimetumia peke yangu for two years.

  Anayehitaji anitumie email tufanye mawasiliano.
   
 2. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 665
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  SAWA KAKA,NAOMBA UCHUKUE HII EMAIL YANGU KISHA TUWASILIANE,mgalulamasoudlyobah@yahoo.com.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  BEI SHILLINGI NGAPI ? wewe email zetu za nini, ? au umetumwa utupeleleze. weka mambo hadharani, humu tunaongea kwa uwazi.
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  usitumie vibaya fursa yako ya uhuru wa kujieleza, haya unayozungumza yanatoka wapi? haya bei ni 5.5 mln
   
 5. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 459
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Picha zipo wapi?
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,214
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  weka picha hapa tuione,sio mbuzi kwenye gunia
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  hahahahahahahahaha
  nacheka jina la kunambi hahahaha
  sounds so fun.

  anyway mkuu muuza gari naomba uitetee bei yako ya 5.5 milion kwani naona wabongo mkishajifunza kutamka bei huwa hamuweki wazi why that price. pls itetee ili nijue ni-burgain au nikimbie (yote haya kwa kuwa hujaweka pichaz)
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  jaman dah nimecheka sana leo...eti mbuzi kwenye gunia!
   
Loading...