Business Idea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business Idea

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NasDaz, Nov 2, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Waungwana,poleni na kazi!! Nina swali nahitaji msaada!! Ningependa kufahamu about kampuni zinazo-deal na namba za simu zinazotumika zaidi kwa masuala ya bahati nasibu na mengine sawa na hayo. am talking abt numbers like 15550, 15570, na zingine kama hizo!! am talking abt zile namba ambazo wakati mwingine zinatumika mtu kupata matokeo Barclay league just by texting UKSOKA!Wadau wa hizi namba ni hizi kampuni za simu za kawaida( lyk Vodacom, Tigo etc) au? Nina bonge la money making idea ambayo am sure none of the company can undermind it unless if they're NOT FOR PROFIT company.
  MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA!!!
   
 2. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Duh ya kweli hayoo!!
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  ya kweli hayoo vivian for 100%!! If u know anything abt it then lete mambo nikafanye biashara!!
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Nenda TCRA ZINAITWA SHORT CODES......DOLA 2000 KWA MWEZI....FEES YAKE KAMA NI BUSINESS
   
 5. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Very helpful kaka!! Saluteeeeee!!! dah, hata jina lake nilikuwa silijui, manake sijui ningeanzaje anzaje!!!
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Cellcom wanazo shortcode za kukodisha kwa muda wa mwezi,au miaka waone ili unapoanza hiyo bizness ujue faida,kama itakulipa au la
  vipi pia ukifanya matokeo ya darasa la saba kwa sms?
  Mwanafunzi anatuma namba yake ya mtihani kwa 67666,anapata matokeo?
  Goodluck
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mwanamwali maambo?jina lako tu.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  good lucky
   
Loading...