natafuta wenyeji

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
kuna mwanafunzi toka tz yuko Warsaw university kama kuna wabongo wenyeji walioko hapo naomba contact.
 
kuna mwanafunzi toka tz yuko Warsaw university kama kuna wabongo wenyeji walioko hapo naomba contact.
Naamini utawaapata tu muda si mrefu ndugu yangu, JF ni jungu kuu halikosi ukoko hapa kuna hadi wakaaji wa nchi za mbali ila wanajitambulisha kuwa wanaishi Njoro, Uchochoroni, Ndani ya kapu, etc etc. Ila mkifanikiwa muwe mnarudisha feedback basi wajameni
 
Atapata tu watu lakini kama ni mtu wa kutoka kiwanja mwambie Ijumaa aende club moja inaitwa Tygmont na jumamosi afike club nyingine inaitwa Harenda pale atakutana na wabongo kibao
 
Wasiliana na Mwakalinga Yule anayegombea Ubunge Kyela, aliishi huko lazima atakuwa na watanzania wachache Warsaw anaofahamiana nao akuunganishe.....!
 
Naamini utawaapata tu muda si mrefu ndugu yangu, JF ni jungu kuu halikosi ukoko hapa kuna hadi wakaaji wa nchi za mbali ila wanajitambulisha kuwa wanaishi Njoro, Uchochoroni, Ndani ya kapu, etc etc. Ila mkifanikiwa muwe mnarudisha feedback basi wajameni

NJORO....? ..We Sipo umehamia Lini Moshi AU aRUSHA?
 
kuna mwanafunzi toka tz yuko Warsaw university kama kuna wabongo wenyeji walioko hapo naomba contact.

LadySaw. Ninachoweza kusema ni kwamba Warsaw hakuna Watanzania wengi. Ila ntajitahidi hao waliopo nikutambulishe. Wengi wako miji kama Krakow and Wroclaw. Hata hivyo, wengi waliomaliza shule wamekimbilia Tanzania na wachache sana wameenda UK na USA.

Karibu sana Warsaw and feel free kunipigia simu au kutuma SMS kwenye Number +48662973444. Hii ni simu iliyo chini ya foundation iitwayo Afrika.org ambapo kwa sasa tunasaidia Waafrika ku-intergrate na mazingira ya nchi za Europena union na wafadhili wenyewe ni hao hao EU. Hivyo kwa Mwaafrika yoyote anayekuja Poland na anaongea Kiingereza na akapata matatizo akiwa Poland au anataka kutafuta ndugu na jamaa zake, mwaweza kupiga simu hiyo na tukaangalia jinsi ya kuwaisaidia. Vingine kuna jamaa wengine wawili wanaoongea Kifaransa na Kireno.

Niseme tena, karibu sana Warszawa/Warsaw (soma Varshava) mji mkuu wa Polska/Poland. Wenyewe twasema Stolica (Stolitsa) yaani Capital City. Nchi pekee duniani iliyowahi kuongozwa na Mapacha, huku mmoja akiwa Rais na mwingine akiwa Waziri Mkuu yaani Kanczynski Brothers.
 
Attachments

  • lech%20i%20jarek%20k_.jpg
    lech%20i%20jarek%20k_.jpg
    19.6 KB · Views: 132
Back
Top Bottom