Nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by african2010, Jun 15, 2010.

 1. a

  african2010 Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom, ina choo cha ndani, bafu, jiko la ndani, sebule ya ndani, dinning room na store, ina ukuta ila haina geti, gari ndogo inaweza kupaki, nyuma kuna eneo la bustani, ipo karibu sana na kituo cha basi cha kimara-kona(dakika zisizozidi tano kwa kutembea na miguu toka kituo cha daladala cha kona(kimara) kodi ni tshs 300,000 kwa mwezi.
  Mimi sio dalali ni mmiliki wa nyumba. Wasiliana na mimi o717498932 au 0783555439.
   
 2. locust60

  locust60 Senior Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Namba hizi zimetumika kwenye tangazo la mashine ya kukamua mafuta,mashine ya kutengeza mishumaa na sasa nyumba ya kupangisha nawe si dalali???????
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  playerhater
   
 4. a

  african2010 Member

  #4
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ukinunua mali yoyote utaona jina langu halisi na sehemu ninapofanyia kazi, nina uthibitisho wa kutosha kuwa mali hizi ni zangu.
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Fanya 150,000/=
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Sasa hilo geti inakuwaje kama mtu yuko interested? anaweka mwenyewe halafu mnajuana kwenye bei au inakuwaje? Na bei inashuka kidogo au vipi?
   
Loading...