BlackBerry Bold 9700 & BlackBerry Curve 8520 for sale cheaply

Mmmmh kwa mshahara huu wa kibongo, daah ngoja nikamate blackberry za kichina tu.Kila la kheri jamani.:redfaces:
 
Mkuu Tonge, China hawajawahi kutengeneza simu aina Blackberry....wao wanatengeneza BLACKBORRY! Kuwa makini na hili.
 
Hizi simu mbona kivuko.com wanauza bei rahisi sana tu?!!..........mh!
 
Back
Top Bottom