Namtafuta mzazi wangu wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta mzazi wangu wa kiume

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Masika, Jun 14, 2010.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HABARI WANA JAMVI!
  NAMTAFUTA BABA YANGU MZAZI ANAITWA AUGUSTINE JOHN CHUWA a.k.a MUKI
  MARA YA MWISHO TULIONANA 1999 KWENYE MSIBA WA BABU YANGU MOSHI!
  ALIKUA ANAISHI DAR WAKATI HUO NA KUFANYA KAZI KAMPUNI ILOITWA tradeco(bandarini ilishakufa)!
  YOYOTE ANAEMFAHAMU AU ANA TETESI ZA ALIKO TUWASILIANE 0713473166,anold55@gmail.com!
   
Loading...