Natafuta vyumba/chumba cha kuishi - Kinondoni

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
HABARI!

NAHITAJI CHUMBA AU MASTA, SEBULE NA JIKO MAENEO YA KINONDONI (Kanisani, B, Manyanya, Mkwajuni au Hananasif) kuanzia leo mpaka 15/7.

Kusiwe na wapangaji zaidi ya mmoja na ikiwezekana niwe peke yangu! NAWEZA KULIPA KODI MPAKA TZS150,000 KWA MWEZI KULINGANA NA UBORA WA NYUMBA NA ENEO-PIA, KUSIWE MBALI NA BARABARA - GARI LIWEZE KUPITA !

MWENYE KUFAHAMU AU MWENYE NAYO ANI PM AU NIPIGIE KATI YA 6AM-9PM NA 8PM-11PM 0713473166
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom