Urgent: Gx100, Gx110 inaitajika

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF naomba Msaada wenu

Nataka kuzunguka kwenye show room za DAr es salaam kutafuta GX100 au GX110 ambayo iko katika hali nzuri less 90000km year 2000

Ni show room gani wana gari za uakika na imara na bei nafuu??

Sikutaka kuagiza Japan mana itachukua mwezi mzima na gari inaitajika Faster

WAnaJF msaada wenu Please
 
Kuna jamaa yangu anaagizaga na kuuza. ipo GX110. kali sana Tshs. 13,000,000 mwisho 12,500,000 kama upo tayari ni Pm.
 
Mkuu tafuta gari mapema, Kutokana na Budget ya mwaka ujao wa fedha kuwa juu, bei za magari zitapanda sana.Ukikosa hiyo nunua gari yoyote nzuri kabla mambo hayaja haribika.
 
Mkuu tafuta gari mapema, Kutokana na Budget ya mwaka ujao wa fedha kuwa juu, bei za magari zitapanda sana.Ukikosa hiyo nunua gari yoyote nzuri kabla mambo hayaja haribika.

Asante mkuu nataka kununua this week ndo maana nikaomba msaada wa showroom za uhakika nizitembelee mana i have cash now
 
Tafuta fasta maana hata hio road licence yenyewe sasa ni almost 150, je kaka wese la GX 110 utaliweza na mifoleni ya dar kama uko dar? Nakushauri ukune unapo fikia mkulu.:hail:
 
Halafu kwenye showroom-waulize kabisa je ni original imported au ya wizi i.e kama mtu hakuuwawa. Na baadae uende police kuwaleleza kuwa unanunua hiyo gari kwa huyo mtu. Hiyo ndio hatari pekee starehe ya kununua gari haraka haraka kutoka showroom inapoweza kukufikisha Keko bila kutegemea hazswa gari ikiwa beo rahisi sana au unaona jamaa unamuomba apunguze anazidi kukupunguzia tu!Hongera ndg yetu umetuacha vumbini!
 
kaka ushauri wa bure kwenye hiyo sanaa ya kutembele makalio chonde chonde katika manunuzi ya gari usitangulize kigezo cha kilometre watu sikuhizi wansogeze kama 190000 inafutwa inabakia 90000 ila unaweza ukagundua kwa space ya namba. Kama unahitaji garin gx 100 cresta nicheck
 
mzee lazima iwe ya showroom au ht kwa indivdual impoterz unchukua? zipo gx 110 tatu. 1 ya 2004 nyingne 2000 na nyngne 2001. hy ya 2004 imetumika jamaa anauza ml 9. hz zingine 2 ni mpyaa zina wiki 1 toka ziingie hata namba bd hazijatoka. full options n full body kits. bei ni 13.5ml. kama upo intrestd napatikana kwny 0713 744 144. regards, dully
 
LOL.....ya 2004 imetumika....nyingine 2000/2001 mpyaa......only in tz.....im joking....najua 'mpya' unamaana haijatumika bongo.......
 
Tafuta fasta maana hata hio road licence yenyewe sasa ni almost 150, je kaka wese la GX 110 utaliweza na mifoleni ya dar kama uko dar? Nakushauri ukune unapo fikia mkulu.:hail:
Mkuu ww na King of Kings mnajuana nini? Kama sivyo, lazima utakuwa Sheikh Yahya weye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom