Nssf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nssf

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Easymutant, Jun 10, 2010.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Wanajamii naomba nisaidiwe na nichukue fursa hii kwa kuwafahamisha wanajamii wenzangu kuhusiana na makato ya kila mwezi kwa hawa jamaa wanaojiita NSSF, kwa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipelekewa makato na mwajiri wangu ambapo kila mwezi ni 240000/=TZS hapo nakuwa nimechangia mimi na mwajiri sasa cha kushangaza zaidi mie sijui hawa jamaa wa NSSF hesabu zao zinagonga vipi maana nimekwenda pale kuomba copy ya ripoti ya makato yangu nakuta kuna figure zinatofautiana na sijawahi kubadilishiwa mshahara kwa mwaka 2008 makato yamekwenda sawa kasoro mwezi AUGUST,OCTOBER,NOVEMBER,DECEMBER inaonyesha total contribution yangu ni 15,760/=TZS.(yangu pamoja na ya mwajiri wangu)
  sasa kama hii ni kwa mwaka 2008 je hiyo mingine inakuwaje ? napata wasiwasi sana na hawa jamaa..
  nimeomba full report toka nimeajiriwa ndo bado naisubiri..
   
 2. K

  Kabogo Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chukua salary slip zote za toka ulivyoanza kupeleka michango yako, nenda branch ya NSSF michango yako inakopelekwa then udai hiyo tofauti na waibadilishe, pia yawezekana mwajiri wako alipeleka pungufu kwa maana hiyo pesa iliyoingia ni ile cheki ya mwajiri wako aliyoipeleka NSSF.
  Angalia pande zote mbili kwa mwajiri na uende NSSF na salary slip zako waweze kufanya marekebisho ya michango yako
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kabogo nimecheki kila kitu kwa kuanza na mwajiri wangu amenihakikishia hajawahi kupeleka nusu na copy za cheque zote zipo sawa,
  ngoja nikawasikilize hawa NSSF. watasemaje
   
 4. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi na hizo benefit wanazotoa kuanzia matenity leave, n.k hivi end of the day wanakuja kuzikata katika michango yako au inakuwaje??advice
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  pale Mimi ntaenda na AK47 Pale we ngoja wale michangi yangu nikigundua nashua lile Ghorofa kwa SCUD
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama utapungukiwa na risasi uje unione
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  He pole sana mkuu wangu.
  Mie niliwakalia kooni wakaamua kunisawazishia baada ya kuona napitia hatua zooote kupeleka malalamiko yangu.
  Hakikisha unaonana na meneja wa tawi la nssf halafu wakishindwa kukutatulia nenda makao makuu kisha ukiona mizinguo, wahi kwa waziri na kama nae atakuwa mizinguo kuna mahakama na huko hakuna wa kukwepa.

  Ni process ndefu lakini inalipa mwishoni na usisahau kuweka kadirio la riba ya gharama unayotumia kufuatilia.
  Pole, lakini hioyo ndo TANZANIA yetu
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,826
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Msanii, bila ujasiri huu hapa bongo utanyanyasika sana
   
 9. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Halafu cha kushangaza zaidi ni kwamba sijawahi kusikia hata siku moja hii NSSF ikizungumziwa Bungeni, jamani kitengo hiki kinalindwa kwa nguvu zoooote. Pia mimi naoana haya mafao yangekuwa yanatolewa kila baada ya mika mitano ili mtu anaweza kuyafaidi akiwa bado na nguvu na wala siyo kusubiria aache kazi! Huu ni uzandiki!!

  E-mutant, hakikisha unafuatilia kwa karibu sana ili upate ufumbuzi.
   
Loading...