Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms. Plus jiko, store, dining and sitting room. Iko Gongo la Mboto Ulongoni A Bei Mil. 30 MAWASILIANO 0717 114409
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IWE LOW AU MEDIUM DENSITY. IWE NEW KAWE ROAD,SALASALA AU MBEZI BEACH. ISIWE MBALI NA BARABARA ZA LAMI. PRICE MAXIMUM 50MILLION. CONTACT rakeyescarl@yahoo.ie au 0788025746
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dr. Bismarck Mwansasu has passed away in Dar-es-Salaam. Dr. Mwansasu taught at University of DSM also Kivukoni College in the 70's. Later he was appointed as RDD in Arusha. He also co-wrote a book...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Asali safi toka misitu ya Tabora (Sikonge na Urambo) iliyolinwa na kuchakatwa kwa kufuata kanuni za usalama na ubora, isiyo na harufu ya moshi au chembechembe za masalia ya uchafu wowote ule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms. Plus jiko, store, dining and sitting room. Ina uwanja wa kukaa gari 4. Ina maji ila umeme bado. Iko Bunju B mita chache kutoka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WanaJF, Ninahitaji nyumba ya kupanga jijini Dar. Maeneo: Kinondoni, Sinza, Magomeni, Kijitonyama, Mwananyamala, Mwenge Niko tayari kulipa at most TZS 300,000/= kwa mwezi. Muda: As early...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
JIJI la Dar es Salaam litaingia kwenye giza nene Mei 31 mwaka huu wakati Shirika la Umeme nchini (Tanesco), litakapozima mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya kampuni ya SONGAS. Taarifa ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nikijua na wewe utajua; Nikifikiria kufanya utakuwa wa kwanza kujua. Join me.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Niko mbali,nahitaji niulize mambo fulani kwani nilisoma pale miaka 10 iliyopita.Kama yupo anayeifahamu naomba msaada.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani namtafuta huyu mdada aitwaye Faith Manyaki kama bado hajavalishwa pete na mtu. Ni rafiki yangu tu huyu wa zamani sana na tumepoteana miaka mingi mno. Tulisoma wote.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru. Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni Wote Hii Saturday 23rd of May (Memorial Weekend) ndani ya Chicago kwenye BBQ ya nguvu na Dance Party. Kama una swali lolote usisite kuwasiliana nami.
0 Reactions
42 Replies
6K Views
I miss u all
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Re:Car for sale Gari inauzwa Mitsubishi Pajero GDi Milango 3; Year-1998 ; Colour-blue/silver Bei mil. 8 (pungufu tunaongea). contact: 0767 534203 Picha attached; Mileage105969
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangazo la maandamano Jamani mie niko nyumbani lakini mliopo London ambao mtakwenda kwenye game na stoke city mnaombwa mjitokeze kwa wingi kwenye maandamano ya kumuunganga mkono Wenger ambaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nissan march ya mwaka 1993 manual ya milango mitano inakaribia 70000 km inauzwa bei 6m na maelewano yapo anaeihitaji aweasiliane na mimi kwa email yangu jkishoka@yahoo.com kwa maelewano na detail
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana JF nisaidieni kupata Thin Client/PC station pc 30 ziwe na usb port. Mnaweza kuwasiliana nami kwa Email: crashinc_02@yahoo.com..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamvi kuna msela wangu tumepotezana muda nrefu and I have tried kutafuta contacts zake na mahali alipo but nimeshindwa, sasa JF imetapakaa duniani kote na yawezekana kabisa mshkaji akawa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…