una tatizo la kulipa ada?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
kuna shule ya english medium nursery and primary maeneo ya njia panda segerea wana utaratibu mzuri kwa wenye kipato kidogo. katika kulipa ada unaweza kukubaliana ulipe kwa awamu ngapi kulingana na kipato chako. ni shule pia imeshika nafasi za mwanyo dsm. kama upo interested piga simu no 0719604156
 
Teacher

Kumbuka:-

Kuanza sentensi na herufi kubwa ..
Kuanza na herufi kubwa baada ya kituo/nukta ..
Kutumia herufi kubwa unapoandika jina la eneo .. (Segerea na si segerea)
Kuhakiki maadishi kabla ya ku-post

Ni hayo tu .. Nitakuja kuiangalia mwenye maana hiyo ndiyo njia ya kuelekea kwenye makazi yangu ..
 
Thanks,
1. Mimi nadhani ni jukumu la serikali kukusanya kodi na kushomesha wananchi wake.. na sii jukumu la wazazi peke yao kubeba tu mzigo!
2. Je kitaifa hiyo shule 2010 ilikuwa ya ngapi?
 
Teacher

Kumbuka:-

Kuanza sentensi na herufi kubwa ..
Kuanza na herufi kubwa baada ya kituo/nukta ..
Kutumia herufi kubwa unapoandika jina la eneo .. (Segerea na si segerea)
Kuhakiki maadishi kabla ya ku-post

Ni hayo tu .. Nitakuja kuiangalia mwenye maana hiyo ndiyo njia ya kuelekea kwenye makazi yangu ..

Salute Baba Enock wazazi kama nyinyi ndio wanatakiwa ,huwezi kumpeleka mwanao sehemu ambayo sio i mean kuingizwa chaka BUT nafikiri labda mwalimu sio mtaalamu wa kuheza na keybord
 
kuna shule ya english medium nursery and primary maeneo ya njia panda segerea wana utaratibu mzuri kwa wenye kipato kidogo. katika kulipa ada unaweza kukubaliana ulipe kwa awamu ngapi kulingana na kipato chako. ni shule pia imeshika nafasi za mwanyo dsm. kama upo interested piga simu no 0719604156

haina jina?
 
Salute Kiongozi! kweli Biashara matangazo! :tea:
 
shule ya siku nyingi imesajiliwa ina elimu nzuri na walimu hadi wenye degree. Kwa maelezo tafadhali piga simu niliyotoa.
 
Baba,
Pamoja na yote amejitahidi sana,haya mambo ni rahisi kwa aliyeyazoea,ila ukizingatia kuwa labda alilipa 500?hr si rahisi kufanya hizo editing la maana alitaka kufikisha ujumbe kwa haraka bila kuathiri kipato chake adimu.

Teacher

Kumbuka:-

Kuanza sentensi na herufi kubwa ..
Kuanza na herufi kubwa baada ya kituo/nukta ..
Kutumia herufi kubwa unapoandika jina la eneo .. (Segerea na si segerea)
Kuhakiki maadishi kabla ya ku-post

Ni hayo tu .. Nitakuja kuiangalia mwenye maana hiyo ndiyo njia ya kuelekea kwenye makazi yangu ..
 
Yaani kama na wewe ni mwalimu apo,,sioni haja ya kumleta mwanangu,,make hata jina lako limeanza kwa herufi ndongo.
 
Toa boriti kwanza jichoni!

Kaka[SIZE=4 said:
J[/SIZE]ambazi;1524416]Yaani kama na wewe ni mwalimu apo,,sioni haja ya kumleta mwanangu,,make hata jina lako limeanza kwa herufi ndongo.
 
Back
Top Bottom