Nauza Toyota VX na Land Rover

JULIETH JOHN

Member
Jan 19, 2011
7
0
Nauza gali zangu mbili zenye sifa zifuatazo:

  • toyota vx ya mwaka 2000, manual, inatumia diezel, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano.

  • landrover ya mwaka 2005, automatic, petrol, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano.
  • gali zote ziko katika hali nzuri saana, zinatembea, nazimekuwa zikifanyiwa service vizuri.
 
TUNAOMBA PICHA, TUAMBIE ZIMETEMBEA UMBALI WA KILOMETA NGAPI, JE ZIMELIPIWA KODI?
HALAFU HATUNA HAJA SANA YA KUJUA JINSIA YAKO KWA SABABU JUZI NDIO UMEJIUNGA NA JF NA UNA POST 4 TU.



Join DateWed Jan 2011Posts4Thanks0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power0
 
Land Rover zipo za model tofauti ni aina gani hiyo (Free lander, 110, 109,etc) pia ningependa kujua unakopatikana na mawasiliano yako kwa ujumla
 
Gali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.
 
Gali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.
dukani ukienda unakuta vitu vina bei
hata wauza mitumba wanakuambia elfu tano elfu tano....

wewe kwa nini unaogopa kuweka bei, kama unauza weka bei kama hauuzi usiweke bei

kama wewe ni serious seller weka bei
 
Landrover aina ni discovery rangi ya dark green na toyota vx ni silver metallic
Salaam dada Julieth;
Wengine tuko mashambani ndugu yangu, kama ukichapa mguu kwa kila tangazo kwenda kuona mbona hata hicho kijisenti kitaishia kwenye petroli!!...ungetusaidia sana kama ungeanika wazi Uwezo wa gari (cc) imekimbia km ngapi, transmission yake ni automatic au manual, inatumia mafuta gani nk. By the way, hiyo ni discovery ipi: ni discovery 3? hebu weka mapicha kidogo mama, bila kusahau asking price. Hizo ndy zenyewe huku mabonde kuinuka.
 
....halafu hizi tabia za kusema Gari lilikuwa linatumiwa na mwanamke zinakera sana! Mantiki yake ni nini? anakuwa halitumii au analitia shombo au inakuwaje vile?
 
for a serious seller weka picha, halafu unategemea mie nitoke karatu nije kuangalia hizo gari Dar? be serious kidogo basi...
 
Landrover aina ni discovery rangi ya dark green na toyota vx ni silver metallic
PICHA NDO INGEKUWA VIZURI-MANA KITU MTU UKIKIONA NDO UNAPATA UELEWA MZURI-kumbuka hata watumwa walikuwa wakipelekwa sokoni-wauzaji wake hakusema nina strong boys 5 ataewataka aje nyumbani-hapana,tupe picha tujue ipi ya kuchukua na ipi yakuacha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom