natafuta gari ya kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta gari ya kununua

Discussion in 'Matangazo madogo' started by luhinda, Aug 25, 2010.

 1. l

  luhinda Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wana jamii..natafuta gari aina ya toyota vitz, carina, rav 4(3doors), raum...iwe nzuriambayo haijatumika sana...my budget is 4mil...
  contact 0712 392134
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ongeza dau nikuletee mkoko
   
 3. l

  luhinda Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fidel una aina gani ya gari?niongeze shs ngapi?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  uko mkoa gani? hayo magari uliyotaja hiyo bei si utapewa skrepa....well lete mil 7 nikupatie vitz imeingia nchini June
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Lete 7.5 mil Toyota Platz haijatumika kabisa(B reg.),7mil Forrester very goog condition,6mil Toyota Lucida very good condition,buy and drive away!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamaa wamesha niwahi hapo juu ongea nao ukishindwa nitafute tumalize biashara.
   
 7. l

  luhinda Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kweli huu mwaka itabidi niumalizie tu kwa daladala cz kumbe gari ndiyo bei hivyo...haya
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha jipange kijana ukitaka ya m.4 kila week uwe tayari kushinda gereji ipo ya m.3 upo tayari?
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Mpwa umeshakuwa dealer cku hizi?:becky:
   
 10. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fidel,
  Kwanini binadamu hujitakia matatizo?Kukomboa gari katika aliyoyasema hapo juu(duties,port charges na registartion)in total inazidi bei hiyo hapo juu.
  Sasa ukitangaza unataka gari ya bei hiyo basi uwe tayari kununua gari la wizi (mtu kauawa kesi ikuangukie), BOVU -KILA SIKU GARAGE(ujikute hizo 3 million unazo save zinarudi kupitia garage na familia ife njaaa) au ....................Jamani wa TZ sio matajiri kama Europe au US, ukiona mtu anasema anakuuzia kitu bei ya kutupa jua hicho kitu kiiishakitumia na sasa ni cha kutupa, kwa hiyo ni bora ukawa macho.
   
 11. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi ninayo Suzuki Escudo nomade bei M.14, Rau M.9 Vitz M.8 kama upo tayari magari yanaingia mwezi huu kutoka Japan
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mpwa mjini hapa unaweza shangaa mahudhurio ya kwenye valuu yanapungua
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  kama hutajali naomba wasifu mfupi wa hiyo Rau (nadhani ni rav4)
   
 14. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahahahaaaa...mkuu hapa kwa hiyo 4m yako hupati gari...ila kama vipi nipigie kiaina nikupe mchongo upate magari mapya ya voda...si unajua kila kitu hapa mjini dili...vuta mkoko wa voda watu wale hiyo 4m yako walinde hishma zao kwa nyumba ndogo na baaa... mujini mipango ..ohhh..habari yako banyaaaaaaaa
   
 15. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimeipenda hii
   
 16. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #16
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu kiukweli kwa 4m hapo ni kitu used ya bongo..sio used ya Japan...hapo hata kwa 2.5 unapata gari ila ndio ishatumika sana...yani tunaongelea gari ilokwenda km zaidi ya laki 5 hata milioni...ila kama unataka usafiri unapata gari standard kwa hiyo 4m yako ila uwe na fundi aikague kabla hujaichukua...kama unataka gari ndio ujivute walau m5 kuendelea...najua sehemu unakoweza pata USAFIRI kwa bei hiyo..kama vp nichek nikupe mchongo ila uwe unaweza pia kuendesha manual japo hazipendwi na madereva wapya wa kisiku hizi.
   
 17. l

  lonesome Senior Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi ninayo jiyo starlet ntakuuzia kwa sh million 1.5 ila ntakutambulisha pia na mafund ufahamiane nao na garage ambayo wameizoea hiyo gari. usidhan ina tatizo la hasha bas tu ndugu yangu nauza sabab nahitaj sana pesa.
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Jamani nyie vipi??mwenyewe anataka la ml4 mnafikiri ajui bei??anajua yeye anatakala 4ml mtafutieni ya bei hiyo!wabongo kwakuingilia maisha ya watu hamjambo!basi mmpangie hata menu ya nyumbani kwake!Basi luhinda mimi nina GRAND MARKII 6CYLINDER!BEI 4.5ml sema?!
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Habari yake banaaaa!!
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Acheni bwana mnajua nakunya valuu ikinipalia???maana nacheka mbavu sina baa wananishangaa!!
   
Loading...