This double storey home offers a nice kitchen, sitting cum dinning room, fireplace, an en suite guest wing and a laundry room on the ground floor.
The upper floor offers en suite master bedroom...
Shishi
Shishi siku ya kufa nyani miti yote huteleza!!!
JF Senior Expert Member:D
jamani wacheni nijiulizie ..hata hongera? am a Senior Expert Member baaaaaaaaaaaaana!!! cha kufia nini...
Moja ya mansion (hii ya kulia) hapa linapangishwa ni full furnished house (furniture babkubwa), swimming pool, air conditioned, ample parking space kama unavyoona and an automatic stand by...
Lipo maeneo ya: Vianzi/Vikindu
Lina ukubwa wa hekari 20,
Lina hati ya serikali ya kijiji ya umiliki.
Umbali: Kilomita 35 kutoka mnara wa saa (Clock Tower) Mnazi mmoja hadi hapo shambani
Gari...
WAZAZI HII SI TABU!
AU MALEZI?
JAMII YETU INAENDA WAPI?
TUTAWAFICHA WAPI WATOTO WETU?
JAMANI WAZAZI WA LEO TUNA KAZI
Dunia ya watu wabaya . Hatushangai kusikia...
Wewe ni mjasilia mali wa kweli??
Kuna bidhaa nimeianzisha (new product), tayari iko sokoni kwa majaribio na imeanza kufanya vizuri tu, sasa inahitaji nguvu nzito kidogo, peke yangu itachukua muda...
Brand New Intel Pentium duo core processor, 2.16GHZ proc speed. 2GB RAM expandable to 4. 250GB hard drive PRICE Tsh 1.3m per each. Contact 0786 114749 and 0715 114749
Muda si mrefu nimeongea na mdau wa JF Lunyungu akaniarifu kuwa kapata ajali mbaya maeneo ya Bagamoyo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupinduka vibaya.
Kwa wale wenye kuhitaji kuongea naye...
Jamani naombeni ushauri wenu....nataka nikapange kati ya TABATA au Maeneo ya kuanzia Banana ukonga hadi pugu......sasa sina uzoefu wa maeneo haya naombeni ushauri wenu....
Naombeni samahani kwa...
Watanzania kwa kweli tunaumizana kuliko watu wengine hapa duniani.ni kwamba kila utakacho nunua dukani ujue umeibiwa;kwa mfano ukinunua saruji ujue kuna kilo kama tano hivi mpaka nane...
Napenda kuwataarifu kuwa ile laptop imeshanunuliwa. Nawashukuru wote walioonyesha nia ya kuinunua. Pia nawashushuru wale wote waliowataadharisha wenzao kuhusu ufanyaji kazi wa dell inspirons...
Poleni na shughuli nyingi wana JF.
Ndugu wana JF ,nina watoto wawili wa darasa la pili na la tatu,nawatafutia shule ya boarding (mchanganyiko wa kiume na wakike ),maeneo ya Dar au mkoa wa Pwani...
SAMAKI (FISH)
Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi
Huilinda mishipa ya damu isiharibike
Huzuia damu kuganda
Hushusha shinikizo la damu
Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa...
Nina mshikaji wangu ambaye aliondokewa na mke wake kiasi cha miaka minne iliyopita. Anatambua umuhimu wa kupima virusi ili kuishi kwa matumaini ila tatizo ni kwamba hataki kupima hospitali bali...
Wana JF,
Kwa walo waliopo Tanzania au wnye ufahamu wa bei za laptop na desktop Tanzania, naomba msaada wenu kwa kunipatia makisio ya bei za laptop na desktop nilizoonesha hapo chini.
Hizi ni...
Habari za Mchana.
Habari nilizozipata Asubuhi hii ni kwamba Matokeo ya Wanafunzi waliochaguliwa Vyuo Mbali mbali yametolewa.UDSM,MZUMBE,Zanzibar State University,SUA,TUDARCO,AU,UDOM,ST...
We have Investors currently looking to provide funding for energy construction development projects around the world.
Criteria to match: 15%-20% equity is needed by the owners to get the...