Shamba kubwa linuzwa

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Wadau katika kupitapita kwangu nimekuta shamba kubwa lipatalo acre 1000(443HA) linauzwa
Shamba hili lipo eneo la Mavulu karibu na Ngerengere na ni kilometa 14 kutoka barabara kuu ya Dar-Morogoro
Mto Ngerengere umepita katika shamba hilo na linafaa kwa uwekezaji mkubwa
Lina hati ambayo imelipiwa hadi 2009/10
Interested people can pm me for more details
 
kama huuzi wewe weka basi namba ya muuzaji.
Kuna nini kwenye shamba?
vp limeshawahi kutumika kwa kazi zaa kilimo au bado ni pori`?
 
mkuu kama unahitaji details zaidi just pm utapata unachotaka,haapa jukwaani ni briefing tu,interested parties watamove stage ya pili na watapata ushirikiano wa kutosha
 
Wadau katika kupitapita kwangu nimekuta shamba kubwa lipatalo acre 1000(443HA) linauzwa
Shamba hili lipo eneo la Mavulu karibu na Ngerengere na ni kilometa 14 kutoka barabara kuu ya Dar-Morogoro
Mto Ngerengere umepita katika shamba hilo na linafaa kwa uwekezaji mkubwa
Lina hati ambayo imelipiwa hadi 2009/10
Interested people can pm me for more details

Biashara za bongo bei hazitajwi!!
Mnatakiwa muweke bei then watu wawe na idea kama watamudu ama la.
 
Inko we kila siku unarukax2 tu huchoki?
Mimi nahitaji kiwanja maeneo ya bunju kwa sh 2000,000?=yoyote anayejua pls
nijulishe
 
hapa ndio unaona biashara za bongo ni uswahili na uhuni mtupu.
kama unauza kitu kwanini usitoe taarifa kamili? kama bei na mawasiliano?
mpaka mjikongoje kongoje ....aghhhhhhhhhh
Biashara za bongo bei hazitajwi!!
Mnatakiwa muweke bei then watu wawe na idea kama watamudu ama la.
 
Inko we kila siku unarukax2 tu huchoki?
Mimi nahitaji kiwanja maeneo ya bunju kwa sh 20,000,000?=yoyote anayejua pls
nijulishe
kiwanja cha milion 20? au naona macho yangu vibaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom