New house for sale, at mbagara maji matitu, dar es salaam

nimeitamani sana,
ila location kwa kazini kwangu ni mbali.
ntakusaidia kupata mdau
 
nashindwa kabisa kuziona picha, unaweza kuziattach kwa format nyingine?
 
Birungi fanya hivo ntashukuru, Kituko, subiri nijaribu kuziatach tena, maana hata mimi sizioni baada ya kupost.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom