Kiwanja kinauzwa moshi,boma ng'ombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa moshi,boma ng'ombe

Discussion in 'Matangazo madogo' started by drndasika, Feb 5, 2011.

 1. d

  drndasika Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja na nusu,kuna nyumba yenye vyumba vitatu selfcontainer, imefika kwenye lenta, iko maeneo ya boma moshi, mita 50 kutoka barabara ya moshi -arusha,kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 50,na mazungumzo yapo,kwa atakayehitaji apige 0658640004
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Duuuu million 50 alafu ni Moshi sio mchezo mkuu.......
   
 3. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Mita 50!, sio ndani ya barabara ya Magufuli!?
   
 4. d

  drndasika Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  tufanye ngapi mkuu?ndiyo maana kuna mazungumzo
   
 5. d

  drndasika Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni mita 50 baada ya kutoa za magufuli mkuu
   
Loading...