Nafuta Kiwanja, Mbezi Beach, Kunduchi, Boko, Kawe, Kigamboni, Salasala and Mbweni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafuta Kiwanja, Mbezi Beach, Kunduchi, Boko, Kawe, Kigamboni, Salasala and Mbweni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mtanganyika, Feb 8, 2011.

 1. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju.

  Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani.

  Hints, I need more than one plot, so advise me accordingly.

  Nitumie namba ya simu na nitakupigia within 24 hours.

  Asanteni sana.

  Mtanganyika mwenzenu.
   
 2. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  vipi bunju hutak mana vpo tele wewe 2u
   
 3. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Mkuu bunju safi, wana Jamii kwenye hiyo list hapo ongeza Bunju. Shida ni eka moja, lakini naweza kununua nusu eka mbili sehemu tofauti.

  Nashukuru kwa msaada wana JF wenzangu. so far, nimepewa namba ya dalali mmoja ambae amenipa website yake lakini hakuna kiwanja katika maeneo ninayo taka.
   
Loading...