Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mkuu Invisible na wataalam wengine wa IT Nimekuwa napigana vita na PC yangu kwa muda sasa na nataka kuweka security kubwa zaidi maana nimechoka na attacks za kila mara. Mwanzoni nilikua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mliopo mjini nadhani mnafahamu kuhusu msiba uliomkumba huyu balozi wetu wa bintiye na kwa taarifa tu ni kuwa mazishi yamefanyika leo leo...inshaalah nitawaupdate kuhusu taarifa za KHITMA...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Dear ONE Member,(Kiuyajibu) Throughout Africa, there is notable progress being made toward reaching the Millennium Development Goals, from halving extreme poverty to stopping the spread of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta kioo cha laptop yangu kimevunjika lcd lg 17''inch naomba sana kama mtu anacho au kioo chochote cha saizi hiyo tuwasiliane 0713669533
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa iko Tegeta -Nyaishozi- karibu mita 500 tu kutoka barabara ya lami -bagamoyo road (upande wa beach). Ina vyumba viwili vya kulala-mojawapo ni selfcontained, ina sebule, dining...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
15th July 2009 Mkulima mmoja wa kijiji cha Mapango Wilayani Kondoa, amejeruhiwa vibaya baada ya punda wake kumbwaga chini. Sasa mtu huyo aitwaye Ramia Husseni, 29, amelazwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, na maeneo mengine kama hayo Mawasiliano: 0769-587 189 Tanzania Honey Expo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ziko Mwananyamala A, DSM. Ni za kisasa na hadhi ya juu kabisa na vitu vifuatavyo; Electrical fence, kwa ujumla mfumo wa kisasa wa ulinzi, A/C full kwenye "master" na sebuleni, vyumba 3 vyakulala...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Toyota Carina inauzwa iko kwenye hali nzuri ,2000cc, ni ya mwaka 1998 bado haijafanyiwa registration bei ni 7ml. Iko Dar, data upon request.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi .kuhusu wapi nitapata computer ya mic tosh ya bei nafuu. tafadhali nijulishe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
[B]Gari inauzwa Mistubishi Pajero Intercooler Turbo, 3 Doors, Metalic Green,2500cc Diesel, Manual, Bullbar, Rear Spoiler, New Tyres nzima inatembea ni mpya bei milioni 7.5m. haijaenda bodi hata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau niko kimya sana ila narudi na mambo mapya Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sijaweka post yoyote hapa kwa sababu zisizozuilika ingawa huwa napitia haraka haraka topiki mbalimbali zinazoongelewa. Hata hivyo, siku za mbeleni nitakuwa active tena hasa kwa vile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Honda CRV (1997, Metalic Silver,in good condition, registered and comprehensive insurance on road in Dar, For Sale 12 million no bargain!) Kwa wenye nia ya kununua tafadhali tuwasiliane kwa email...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie kujua nauri ya ndege toka Dar kwenda Ny oneway trip
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kuuliza. Kuna Land Cruiser Prado mbili zote za 2001, zote ni automatic, 90 series, rangi tofauti (nyeupe na silver), kilometer moja ni 65,000 na nyingine 88,000, lakini moja ni Petrol...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Ipo Kigamboni maeneo ya ungindoni. Bei ya kuanzia ni M 38. maelewano Imekamilika ila haina fence but reserved for parking and other development. Kwa walio sirias wasiliana na mmiliki 0717 221289...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu.. Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002. Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Natafuta duka wanapouza hizo battery za blackbery kwa maeneo ya Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ABIRIA zaidi ya 60 waliokuwa wakisafiri katika basi la abiria linalotambulika kwa jina la Harambee Bus linalofanya safari zake kati ya Dar Arusha walinusurika kufa baada ya basi hilo kupinduka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…