Una Shughuli??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kama una shughuli yoyote usisite kuwasiliana na Bilali Mashauzi.Ni mtanashati na mchangamfu sana, Bilal ni kiongozi wa vijana wote na yuko juu.Pasipo na Bilal jua ya kuwa shughuli yako haijakamilika!!
BILAL.jpg
 
View attachment 12382

wee boflo wewe....huyo Bilal ni kiongozi wa vijana wote kina nani?.....au unataka kuona tukiongea tu hapa
 
mambo preta?....mbona hujavaa sidiria katika hiyo avatar yako
 
Cheusi Mangala kasema huyu jamaa sio rizki,sasa wewe mbona unamnadi kivingine? :love:
 
hili si ndio lile chapati tulilokuwa tunalijadili jana? halaf mleta sredi anaitwa boflo heheheheheh acha nisepe , kuna kila dalili ya tsunami kwenye hii sredi.........preta haujambo wewe?
 
sijambo kipenzi mzima wewe....nimekukosa
 
Katika hiyo pic what happent with the guy eyes,bolfo wewe ndio balal au?
Huyo balali ni chakula?
 
Kama una shughuli yoyote usisite kuwasiliana na Bilali Mashauzi.Ni mtanashati na mchangamfu sana, Bilal ni kiongozi wa vijana wote na yuko juu.Pasipo na Bilal jua ya kuwa shughuli yako haijakamilika!!
View attachment 12382

Oh OOh! mtoto wa kiume karembua JICHO na kidole juu kama JOTI!!!! Kumbe Bilali ndy Boflo?!!! Si Rizki.......!...au?
 
Back
Top Bottom