Apartment zinapangishwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apartment zinapangishwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Aug 17, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Zipo kimara suka. Mita chache kutoka barabara kuu(Morogoro Road) Zina chumba kimoja cha kulala, sebure, choo na bafu na jiko ndani kwa ndani au self contained.
  kodi kwa mwezi sh 150,000/-. Kwa mwezi. kwa maelezo zaidpiga simu na 0717114409 au 0755312233
   
 2. G

  Gokona Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa sasa,tutumie picha tuzione ndugu yangu angalau tupate idea how it look like.
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Je ukubwa wa vyumba ukoje kwa mfano sebule na cha kulala na hiyo laki moja unusu unatoa kila mwisho wa mwezi au ndio unalipia pango kwa mwaka mzima.Pia ingenoga ungetoa picha zake hapa jamvini,pia nataka kujua kama ziko ndani ya fensi n.k
   
 4. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Zipo ndani ya fence. kodi miezi sita.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  weka picha na dimention za hiyo nyumba, kilo unusu ni nyingi mkuu na wengine tuko mbali atuwezi kuja fizical hapo,
   
 6. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kama ndio ninazozifahamu mimi, mmmh. Hebu weka picha basi
   
 7. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamani acheni uswahili, c ameweka simu zake hapo...if ur interested call the guy arrange with him and go have a look/survey. sidhani kama utalazimishwa kulipia nyumba bila ww kuikagua nakuridhika nao...mambo ya picha sijui dimensions...acheni hizo..:mad2:
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tatizo hiyo sehemu kwa watu tufanyao kazi maeneo ya kurasini itatubidi tuamke saa kumi asubuhi!
   
 9. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Njia zipo nyingi kuelekea huko kurasini, waweza pitia kinyerezi si lazima kupitia ubungo
   
 10. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Biashar za siku hiizi tofauti kabisa na za zamani, mbona price tag ameweka? Kizuri chajiuza, kabla mtu hajapoteza mia tano yake kupiga simu, wachilia mbali lita sita zake za diesel kwenda kuona nyumba ni vizuri ikamvuta kwanza kwa macho.
   
Loading...