nataka kununua subaru forester

matambo

JF-Expert Member
May 14, 2009
727
117
wakuu nimevutiwa na gari aina ya subaru forester so nataka niinunue, naomba wenye m aelezo ya kina juu ya gari hizi na mazingira ya tanzania wanijuze, nitashukuru kwa mchango wenu

nb: nataka nilitoe bandarini kwa kupata exemption je taratibu gani zifuatwe? na je importation duty ni % ngapi ya CF price?gari ni ya mwaka 2001
 
Back
Top Bottom