Owner wa Mzalendo pub afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Owner wa Mzalendo pub afariki

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tusker Bariiiidi, Aug 19, 2010.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nimepatwa na mshituko mkubwa...,baada ya kupokea habari za msiba mzito katika sekta ya burudani,mmiliki wa Mzalendo Pub Millenium Towers Ndugu yetu Costa Mowo hatunaye tena..., Costa amefariki ghafla leo katika hospital ya KCMC Moshi kwa kuugua ghafla kwa shinikizo la damu "low pressure" alikuwa mtu wa watu
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  TB,
  Poleni sana kwa msiba. Mola ampumzishe pema peponi marehemu.
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nimezipokea habari za kifo cha mshikaji Costa ambaye ni owner wa Mzalendo Pub pale Millenium tower kwa huzuni kubwa. Yaani hata sina la kusema isipokuwa kumshukuru Mungu kwani ndiye mjuzi wa yote..
  Mungu amlaze mahala pema peponi - Amin..
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Sisi sote kaka... Jamaa alikuwa mtu mwema sana Mzalendo Pub ilileta mapinduzi makubwa katika burudani!!! Pub yake ilikuwa classic...
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nini kimetokea? Ni yule mshikaji mrefu mwembamba?
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  pole kwa kufiwa shekhe
  Mungu ashukuriwe kwa kila jambo
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  atakuwa amekwenda na pub yake?
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hapana mfupi kiasi mng'avu nadhani ana asili toka kanda za juu kama sikosei..
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh poleni wafiwa na patrons wa Mzalendo pub....
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nawapa Pole Wanafamilia na Marafiki.
  R.I.P.

  Steve Dii
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Rip
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka mara ya mwisho naongea na marehemu alikuwa amejiandaa kugombea Ubunge au Udiwani somewhere mkoani Singida. Na kama mjuavyo Mzalendo Pub ndio kwanza ime pick na kuwa lounge ya vijana wa mjini, mara habari hii...
  Duh, ama kweli binadamu sii kitu..
   
 13. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  r.i.p. Costa
   
 14. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  R.I.P Costa .

  Ndio huyu alikua ana onya marafiki zake wa karibu anao wajali baada ya kutembea na wadada wazuri wa mjini ,kuwa yeye kaisha pita kwahiyo wawakalie mbali hao wadada ?
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,468
  Trophy Points: 280
  RIP COSTA MOWO,
  Wanamuzlendo wote poleni.
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  RIP Costa
   
 17. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dah poleni sana wafiwa na wapenzi wa burudani
   
 18. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu awatie ujasiri wafiwa kipindi hiki kigumu cha msiba.

  R.I.P
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nawapa pole wafiwa katika kipindi hiki kigumu Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amina.
   
 20. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  R.I.P Mzalendo Pub Owner....This is tragedy for all funs wa ku party mujini....
   
Loading...