Two cars for sale- better price!

FIDIVIN

Senior Member
Aug 4, 2010
187
41
Toyota collora 110-white (1999) (tzs7.4mil), and
toyota corsa - silver (1996) (tzs6.9mil)
both imported june 2010 from japan.
Call: 0715586302/0713299420/0753586302
Email: teddyfide@gmail.com
u are welcome!
 

Attachments

  • light-side.jpg
    light-side.jpg
    48.8 KB · Views: 81
  • CORSA.jpg
    CORSA.jpg
    3.2 KB · Views: 79
DUUH! NAONA HUKO KIBIASHARA ZAIDI, POST YAKO YA KWANZA TU, BiLA HATA KUKARIBISHWA?
 
Kwa hiyo bei magari hayo hapa JF itakuwia ngumu sana kuuza, wengi wananunua hukohuko ulikoyanunua, kwa bei hiyohiyo uliyonunua (au chini yake). Kila la heri
 
duuh! Naona huko kibiashara zaidi, post yako ya kwanza tu, bila hata kukaribishwa?

anaogopa madongo wengine ukiomba kukaribia wanakutupia mawe awaonekani tena wacha wajikaribishe wenyewe
 
FIDIVIN bei ya 7.4m ni mpaka registration au inafikia wapi, kwani naona gari hiyo haina plate number ya TZ. Na je ni automatic au manual na imetembea km ngapi?
 
Back
Top Bottom