Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwanamke Mjamzito Afanyiwa Ukatili wa Kutisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009 Mada Kuu: Wanataaluma Na Vipaumbele Vya Taifa na Jinsi Wanavyoweza Kuchangia na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna nyumba ya vyumba sita inauzwa pale Mwananyamala 'B', ipo barabarani na inafaa kwa biashara. Kuifikia nyumba hiyo unaweza kutokea Victoria au Kinondoni. Bei ni shilingi milioni 50, lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
ASPIRE 4520 AMD Athlon ™ 64x2 Dual Core Processor TK 57 1.9 GHz, 1.75 RAM GB DDR2 HDD 160 GB, Built in Bluetooth, Web Camera 1.3 MP Graphics by NVIDIA GeForce 7000M DVD super...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach. Kiwanja kina uzio wa ukuta wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau wenzangu Poleni na majukumu mlionayo, Mimi nimeona nilete kwenu ndugu zangu muweze kunijulisha maana nimeamua hili liwehapa nipate msaada na ushauri mzuri . Nimejikwamua nimenunua Ka gari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu habari ya asubuhi hii, kumekucha salama kabisa, Natafuta rejeta ya AC suzuki escudo Nomade kwani nimepeleka kwa fundi amesema imetoboka sasa inahitajika ingine mwenye nayo au anajua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamii, Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mke au Mtoto Wako Yupi wa Kumuokoa? Amuokoa Mkewe...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Wananchi wa Tanganyika ninasikitika kuwatangazia kupotea kwa LUKU ya Mzee Makamba. LUKU hii ndiyo ilikuwa ikimsaidia Mzee kuchuja pumba na mchele, mbivu na mbichi, moto na baridi, majivu na kaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu: Niko na used laptops ninaouza. Specifications na bei ni kama hivi: 1. Dell Inspiron 1100 (speed=2.4 GHz (intel Celeron); RAM=512 MB; Hard drive memory=40GB) Bei= 435, 000 TZS 2...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna biashara nilifanya na AZAM lakini naona wameshindwa kutoa huduma niliyonunua na badala yake nazungushwa tu. Nataka kuongea na Bakhresa mwenyewe au mtu mwingine mwenye mamlaka na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Mission to Seafarers Dar es Salaam Invite Tenders from Eligible Service Providers to bid for Running of Mission to Seafarers Restaurant at Kurasini Dar es Salaam for a period of one (1) year...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MIMI STANLEY MOSES NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU CHERU MKOMBO POPOTE ULIPO TANZANIA TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE TABORA GIRLS 2004 HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI? JAMANI...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nyumba ya kununua inahitajika haraka kwa ajili ya kununuliwa. Iwe maeneo ya Kijitonyama au eneo la kinondoni. Kiwanja chake kiwe na Hati miliki(Tittle Deed), Bei isizidi 100mil. Na ikiwa kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu WanaJF. Kuna MwanaJF mtarajiwa ambaye amepata uhamisho kutoka mikoani kuja jijini anatafuta Upande/Vyumba Vitatu ama nyumba nzima (kama bei sio maumivu sana!) maeneo ya kuanzia Kimara hadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimepata uhamisho wa kikazi from znz to dar ndo sababu ya kuiza gari, imelipiwa ushuru wa znz,bei hii inazingatia gharama za mnunuzi katika kulisafirisha frm znz to dar. kama atakaye nunua yuko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunasikitika kupokea kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini na mmoja wa waasisi wa CHADEMA Kanali (Mstaafu) Geofrey Marealle kilichotokea jana usiku. CHADEMA inatuma salamu za pole...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hi wa JF, Gari hii imeboreshwa kwa wekewa injini ya Toyota Rav 4, 3s. Bei yake ni sh 11mil. 0717114409
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…