2003 years model Land Cruiser Prado for sale

Joined
Dec 7, 2010
Messages
8
Likes
0
Points
0

shenchao

Member
Joined Dec 7, 2010
8 0 0
[FONT=宋体, MS Song][FONT=宋体]am going to leave tanzania.[/FONT]
2003 years model, Blue color, Diesel, Manual, 7 Seaters , CD,[/FONT]

[FONT=宋体, MS Song]93,000 miles.Front and side SRS airbag, Front and rear SRS curtain. Very good condition.[/FONT]
[FONT=宋体, MS Song]Just arrived in dar es salaam months, duty paid.[/FONT]
[FONT=宋体, MS Song][/FONT]
[FONT=宋体, MS Song]Selling price: USD 30,000.00[/FONT]
[FONT=宋体]Mobile: 0752 188 888[/FONT]
[FONT=宋体][/FONT]
 

Attachments:

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
140
Points
160

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 140 160
tHANKS MKUU

PALE MPAKANI KARIBU NA SILENT INN KUNA WACHINA WANAUZA HIYO KWA 30m TZS,
 

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
22
Points
135

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 22 135
Safi ila nikiongeza kidogo tu napata jipyaaaaaaaaaaaaa
Hiyo niliyoattach inaenda kwa dola 12500 tu usd 13500 cif ukilipia 18% vat na 5% import duty then unalipia 1.6% cif value ( port charges ) unaondoka na kitu cha 2002 na haitafika hata 25,000 usd!
 

Attachments:

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Messages
363
Likes
0
Points
0

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2009
363 0 0
rental is more expensive than buying a car .
You would better rent rather than buying that car. GXL model ya 2006/7 is just amount and less miles or KM you have mentioned bro. Any way next time ask and or buy your car online from Japan and which they will include shipping costs as well. I wish you lucky.
 
Joined
Dec 7, 2010
Messages
8
Likes
0
Points
0

shenchao

Member
Joined Dec 7, 2010
8 0 0
mku, this one is 2002 models which is totally different ones from 2003.
you caculate wrongly , this one is 18% VAT+ 25% import duty+ 10% 4 wheel tax.
also 1.6%,port charge na registration.

Hiyo niliyoattach inaenda kwa dola 12500 tu usd 13500 cif ukilipia 18% vat na 5% import duty then unalipia 1.6% cif value ( port charges ) unaondoka na kitu cha 2002 na haitafika hata 25,000 usd!
 

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
3,206
Likes
1,009
Points
280

Mlachake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
3,206 1,009 280
mku, this one is 2002 models which is totally different ones from 2003.
you caculate wrongly , this one is 18% VAT+ 25% import duty+ 10% 4 wheel tax.
also 1.6%,port charge na registration.
1. wewe ni msanii! undanganya wewe ni mchina lakini huo ni uongo uliowazi
2. Hii ni sehemu ya matangazo madogo madogo Sidhani kama hilo tangazo lako ni dogo
3. hiyo gari hutapata mteja. sijawahi ona mtu ananunua gari ya $30k mkononi kwa mtu.
4. Inawezekana hiyo gari haipo unataka kututapeli.
5.kwanini ulinunua gari ya bei hiyo ilhali ulijua contract yako inaisha ndani ya miezi sita
 

PatPending

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Messages
490
Likes
2
Points
33

PatPending

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2007
490 2 33
Wakuu hilo ni Series 120 tofauti kabisa Series 90 na kwa $30k ni bei nzuri tu. Mkuu Mlachake, biashara ni matangazo na kama hauna interest ni bora ukamuacha muuzaji atangaze. Kuna magari yanayonunuliwa kwa zaidi ya hiyo $30k kutoka kwenye mikono ya watu.
 

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
675
Likes
8
Points
0

kaburunye

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
675 8 0
Du, watu mna mahela aiseee. Yaani unaingiza mfukoni unaibua USD 30,000, unanunua gari!!!!!!!!! OK. Ngoja niwahi daladala hapo nje maana leo usafiri ni wa taabu hapa kariakoo
 

JAY2da4

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2008
Messages
207
Likes
14
Points
35

JAY2da4

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2008
207 14 35
Hiyo niliyoattach inaenda kwa dola 12500 tu usd 13500 cif ukilipia 18% vat na 5% import duty then unalipia 1.6% cif value ( port charges ) unaondoka na kitu cha 2002 na haitafika hata 25,000 usd!
Kumbuka yeye anauza prado ya 2003 ambayo ni New model,wewe unatuwekea 2002 ambayo ni old model,usitegemee bei zitalingana bana?Pili gari yake ni diesel engine ,kwa cif utayotoa hapo kwa old model prado lazima itakua petrol.Jamani kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya kuliko kupotosha.
 

Forum statistics

Threads 1,203,211
Members 456,663
Posts 28,104,732