Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
nenda upanga, ukiwa unatokea salender bridge, baada tu ya mataa ya hapa traffic, as you proceed towards city centre, mkono wako wa kushoto barbarani kabisa (baada ya kituo cha daladala) kuna kaduka kadogo tu, jamaa wanauza pale....nadhani siyo imported zile...
Nenda pale mikocheni mbele ya Shoppers Plaza kabla hujavuka daraja upande wa kushoto kama unaenda mikocheni ukitokea mjini kuna mabanda ya biashara mbele ya ilipokuwa La Taverna,utakuta yapo mengi tu ila bei sijui nayaona nikipita njianiwadau nataka kununua aquarium za kufugia samaki, naomba mnijuze wapi hapa dar, naweza
kupata aina tofauti za aquarium na kwa bei safi